johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni ombi tu kwa wenyeviti wa vyama shirika katika uchaguzi mkuu ambavyo ni Chadema, ACT Wazalendo na Chauma.
Mara ya mwisho kushuhudia mdahalo wa wagombea urais ilikuwa ni 2015 kati ya January Makamba, Mwigullu Nchemba, Dr Hamis Kigwangalla na mzee Hashimu Rungwe ambao wote walifeli vibaya sana mbele ya Dkt. John Magufuli.
Nawasilisha.
Maendeleo hayana vyama!