Kumekucha: Yanga Princess hawajalipwa fedha zao/ wagomea kuvunja kambi

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
Wachezaji wa Timu ya Yanga princess wamegoma Kuondoka Kambini ktokana na kutolipwa Mishahara na fedha za usajili

Inaelezwa kwamba wachezaji ambao wamesajiliwa msimu huu wamegoma kuondoka kwenda Nyumbani kwao mpaka walipwe fedha zao ndio waondoke kambini.

Tangu Yanga Princess wagome kuvunja kambi hakuna kiongozi yeyote wa klabu hiyo aliyewatembelea kuwapa muongozo wa klabu Jinsi ya kulipwa Fedha zao hivyo wengi wao wameanza kuzagaa mitaa ya Mikocheni ilipo kambi yao

Credit: Jemedari Said Kazumari

 
Tajiri wao aliesema anatoa milioni 63 kwa kila mchezaji endapo wangeshinda mechi ya juzi,nashauri atoa pesa kwenye hizo pesa alizotenga awape hao mabinti wasije umizwa sehemu zao za siri,inatosha kuumiza miguu yao kwenye soka.
 
Watulie Kwanza Tulete Kombe Toka Algeria Halafu Nao Watalipwa Haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…