political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Wachezaji wa Timu ya Yanga princess wamegoma Kuondoka Kambini ktokana na kutolipwa Mishahara na fedha za usajili
Inaelezwa kwamba wachezaji ambao wamesajiliwa msimu huu wamegoma kuondoka kwenda Nyumbani kwao mpaka walipwe fedha zao ndio waondoke kambini.
Tangu Yanga Princess wagome kuvunja kambi hakuna kiongozi yeyote wa klabu hiyo aliyewatembelea kuwapa muongozo wa klabu Jinsi ya kulipwa Fedha zao hivyo wengi wao wameanza kuzagaa mitaa ya Mikocheni ilipo kambi yao
Credit: Jemedari Said Kazumari