stellahthatcher
Senior Member
- Oct 14, 2015
- 168
- 165
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli nasikia wanajaza nafasi za niyonzima na bossouBaada ya kumsainisha Ibrahim Ajib,kuna kila dalili kwamba,Deo Kanda na Jesse Were watasaini muda wowote.
Jesse Werre anakipiga wapi kweli? Deo Kanda ndo simjui kabisqBaada ya kumsainisha Ibrahim Ajib,kuna kila dalili kwamba,Deo Kanda na Jesse Were watasaini muda wowote.
Were - Zesco ZambiaJesse Werre anakipiga wapi kweli? Deo Kanda ndo simjui kabisq
Huo ni uthibitisho kuwa Ngoma , Niyo are OUT! Sema waende tu maana wasumbufu kichiziWere - Zesco Zambia
Kanda TP Mazembe Congo
Hata Ngoma!Wafanye yote ili Niyonzima abaki
Kabisa. Ngoma ni muhimu sana pale mbeleHata Ngoma!
Sasa wewe umejalibu nini ktk maisha yako? maana mwenzio alijalibu popMhaini Hanspope hana umafia wowote kama angekuwa mafia kama elchapo asingekamatwa kisenge mwaka 1982 navkushindwa kupindua serikali,aliishia kufungwa maisha.Ni mzee ruksa aliyekuja kumtoa na wenzake 1995.Angefia ko
Nitajaribu kuja kwenu ,nijifunge lile taulo jekundu la mama yeyooooSasa wewe umejalibu nini ktk maisha yako? maana mwenzio alijalibu pop
Karibu sana usiofu ntamwambia akuoshee kabisaNitajaribu kuja kwenu ,nijifunge lile taulo jekundu la mama yeyoooo
Mbona ndio kawaida yenu kucheka mwanzo,,mwisho mnakimbilia fifaNaona Ndala fc mnacheza mziki Le Mafia Hans Pope kama alivyotaka, hahahaaaaaaaaa, mi mnyama ngoja nicheke kwa dharaaaaaaaauuuuu nikisubiri coup de grace la Hans Pope kwa watani.
ha ha haYanga hatusajili mipunga. Huyo labda aende kwenye timu aliyochezea serenkuma
Kuna mtu mna undugu naye.Sasa wewe umejalibu nini ktk maisha yako? maana mwenzio alijalibu pop