zungumza lolote kuhusu zerzeru la simba
Hapo sawa aseeHamna ukweli wowote ni ujinga tu,Nadir anamuuguza mama yake Zenji
Hivi kiutaratibu anayetakiwa kumsimamisha mtumishi yeyote ndan ya klabu n nan maana naona Mwinyi anakila aina ya mamlaka ndan ya yanga mhazini ; msemaji meneja muajir na hata ukatbu mkuu naona kama anaichukua hii nafas ifke wakat wanayanga washtuke huyu mkongoman ana waingiza chakike
Sio kukutana njiani... AJIBU ni Rafiki wa MKUDE kabisa , Zahera ajiandae kuwatenganisha tu.Write your reply...zahera tumeshamchoka.
anachukulia mpira ni Vita!. kwamba mkude kakutana na Ajibu njiani wakaziane uso wa mbuzi?.
huyu mzee anachukulia ukata wa yanga kama udhaifu yeye afanye anavyotaka.. hii ipo Tanzania tuu