Kumekucha Zahera amfukuza Cannavaro

Kumekucha Zahera amfukuza Cannavaro

Zahera ni kocha wa timu yangu ila ana kasoro nyingi sana, ni mjuaji zaidi sasa hapo kosa la Nadir liko wapi?
Umaskini ni kitu kibaya sana, kama Yanga ingekua vizuri huyu angeenda na maji
 
Umaskini ni mbaya sana. Cannavaro fake huyu msaliti. Alienda kufanya nini kwa Mo tena anapitishwa mlango wa nyuma?Kuna ualakini hapa. Wasaliti wote fekelea mbali.
 
Mimi ni Yanga Ila kuhusu Cannavaro naweza kutilia mashaka kw sababu mshikaji Wangu ambaye ana mazoea na Nadir ya kiushikaji aliwahi niambia kuwa Cannavaro aliwahi kumuambia kuwa Simba ndio ilikuwa timu yake anayoipenda tokea utotoni Ila kazi tu ikampelekea yeye kuwa Yanga.
 
Huyu kocha ni K,kwa hiyo kuonekana kwenye ofisi za Mo ndiyo iweje. Soka imekuwa uadui? Kuna mahusiano nje ya soka.
 
Bila kujali ukweli au uwongo wa habari hii. Hivi kati ya kocha na meneja nani anaweza akamfukuza mwenzake kazi? (kwa mazingira ya bongo)
 
Write your reply...zahera tumeshamchoka.
anachukulia mpira ni Vita!. kwamba mkude kakutana na Ajibu njiani wakaziane uso wa mbuzi?.
huyu mzee anachukulia ukata wa yanga kama udhaifu yeye afanye anavyotaka.. hii ipo Tanzania tuu
 
Kwani hujui kuwa bhana kongo ndo kila kitu pale Vyurani?
Hivi kiutaratibu anayetakiwa kumsimamisha mtumishi yeyote ndan ya klabu n nan maana naona Mwinyi anakila aina ya mamlaka ndan ya yanga mhazini ; msemaji meneja muajir na hata ukatbu mkuu naona kama anaichukua hii nafas ifke wakat wanayanga washtuke huyu mkongoman ana waingiza chakike
 
Write your reply...zahera tumeshamchoka.
anachukulia mpira ni Vita!. kwamba mkude kakutana na Ajibu njiani wakaziane uso wa mbuzi?.
huyu mzee anachukulia ukata wa yanga kama udhaifu yeye afanye anavyotaka.. hii ipo Tanzania tuu
Sio kukutana njiani... AJIBU ni Rafiki wa MKUDE kabisa , Zahera ajiandae kuwatenganisha tu.
 
Lengo la Zahera ni kuhakikisha watu woote wanaoipenda timu ya Yanga wasisalimiane wala kuzikana na wapenzi wa Simba hadi pale mkataba wake utakapo isha na atakapoondoka Yanga.
Wachezaji wote watakaosajiriwa Yanga wawe wale tu wanachama hai wa Yanga.
Wenye mapenzi yakweli na Yanga.
Watakaokubali kuichezea timu ya Yanga hata kwa kuto lipwa chochote yaani bure na kwa kujitolea.
 
Back
Top Bottom