Mbwembwe zoote,ujuaji woote,majigambo yoote,hatimae sarakasi zoote za "HATUCHEZI NG'OO"kifo Cha mende.Mbwembwe zoote,ujuaji woote,majigambo yoote,hatimae sarakasi zoote za "HATUCHEZI NG'OO"kifo Cha mende.
Wenye akili walisema,huko ni kujifaragua tu kisa unajiona mkubwa kumbe watoto Wana kuzidi akili!
Yanga wamekubali kupeleka na kuingiza timu uwanjani huku wakifanya maandalizi ya mechi nje ya uwanja Kwa ustadi mkubwa na Kwa kushirikisha watu wazito wa serikali! Hofu yao ni kukwepa aibu,migogoro na kupoteza ubingwa!
Miongoni mwa sharti walilolitoa Kwa wenye mamlaka ni simba isiende kufanya mazoezi siku Moja kabla ya mechi!
KARIBUNI KWA MKAPA HATOKI MTU
Kwani wametangazwa kuwa wanacheza mkuu??Walikuwa wanatumika kuhamisha mjadala mkuu wa NO REFORMS NO ELECTION sasa wameona HATUCHEZI imedunda wamenyooka. Hawachezi vipi mbona hawajarudisha viingilio vya watu?
Umeingizwa king na wewe umejaaWalikuwa wanatumika kuhamisha mjadala mkuu wa NO REFORMS NO ELECTION sasa wameona HATUCHEZI imedunda wamenyooka. Hawachezi vipi mbona hawajarudisha viingilio vya watu?
Ndio wanaenda kutangaza muda mfupi ujao. Hakuna cha wazee wa klabu wala viongozi wa matawi, wote wamekalishwa kwa aibu na watacheza sasaKwani wametangazwa kuwa wanacheza mkuu??
Kwa hiyo boss kwenda USA ni kosa linalostahili onyo?Mbwembwe zoote, ujuaji woote, majigambo yoote, hatimae sarakasi zoote za "HATUCHEZI NG'OO" kifo Cha mende.
Wenye akili walisema,huko ni kujifaragua tu kisa unajiona mkubwa kumbe watoto Wana kuzidi akili!
Yanga wamekubali kupeleka na kuingiza timu uwanjani huku wakifanya maandalizi ya mechi nje ya uwanja Kwa ustadi mkubwa na Kwa kushirikisha watu wazito wa serikali! Hofu yao ni kukwepa aibu,migogoro na kupoteza ubingwa!
Miongoni mwa sharti walilolitoa Kwa wenye mamlaka ni simba isiende kufanya mazoezi siku Moja kabla ya mechi!
KARIBUNI KWA MKAPA HATOKI MTU
Kweli ndani ya massa 24 ndiyo wapenzi wa yanga watajua maana ya Muda utaongeaMuda utaongea...
Write your reply...
We ni pumba boy. Thread zako zote ni pumba tu.Mbwembwe zoote, ujuaji woote, majigambo yoote, hatimae sarakasi zoote za "HATUCHEZI NG'OO" kifo Cha mende.