Kumekuchaaa, watacheza, boss kakimbilia USA, apewa onyo!

Walikuwa wanatumika kuhamisha mjadala mkuu wa NO REFORMS NO ELECTION sasa wameona HATUCHEZI imedunda wamenyooka. Hawachezi vipi mbona hawajarudisha viingilio vya watu?
Tazama hili pang'ang'a..mechi ilikua march 8
 
Mpaka TFF na bodi ya ligi wanawaita Yanga hamuoni kuna shida sehemu? Kama wanajua kila kitu kiko sawa upande wao basi wangesubiri hiyo tarehe 15 wainyang'anye point Yanga mbona sio mbali.

Yanga hawajaenda kuomba kukutana na hao viongozi ili wacheze. Msimamo ni kama mambo hayatawekwa sawa hiyo mechi haichezwi. Yakiwekwa sawa kinapigwa mapema sana ila si tarehe 15. Hiyo tarehe 15 hata kama kuna makubaliano mechi haiwezi kuchezwa
 
Mbwembwe zoote, ujuaji woote, majigambo yoote, hatimae sarakasi zoote za "HATUCHEZI NG'OO" kifo Cha mende.
Wenye akili walisema,huko ni kujifaragua tu kisa unajiona mkubwa kumbe watoto Wana kuzidi akili!

Yanga wamekubali kupeleka na kuingiza timu uwanjani huku wakifanya maandalizi ya mechi nje ya uwanja Kwa ustadi mkubwa na Kwa kushirikisha watu wazito wa serikali! Hofu yao ni kukwepa aibu,migogoro na kupoteza ubingwa!

Miongoni mwa sharti walilolitoa Kwa wenye mamlaka ni simba isiende kufanya mazoezi siku Moja kabla ya mechi!

KARIBUNI KWA MKAPA HATOKI MTU
HATUCHEZI NG'OOO!
 
HATUCHEZI NG'OOO!
Ni kweli! Hamna utani. Nilivyoona ni BURUSHI ameenda kikaoni badala ya Msomari, nikajua ni HAKUNA KURUDI NYUMA! Jamaa ana msimamo kama nini!
yangasc-20250609-0003.jpg
 
Ni kweli! Hamna utani. Nilivyoona ni BURUSHI ameenda kikaoni badala ya Msomari, nikajua ni HAKUNA KURUDI NYUMA! Jamaa ana msimamo kama nini! View attachment 3361972
Asante mkuu na mimi nilikuwa nakuja kupost hii hii barua ya Yanga kwa Umma! Sasa huyu aliyekuwa anapiga mbinja na kuwatukana viongozi wa Yanga kiko wapi! Huo hapo msimamo ya Yanga sasa!
 
Mbwembwe zoote, ujuaji woote, majigambo yoote, hatimae sarakasi zoote za "HATUCHEZI NG'OO" kifo Cha mende.
Wenye akili walisema,huko ni kujifaragua tu kisa unajiona mkubwa kumbe watoto Wana kuzidi akili!

Yanga wamekubali kupeleka na kuingiza timu uwanjani huku wakifanya maandalizi ya mechi nje ya uwanja Kwa ustadi mkubwa na Kwa kushirikisha watu wazito wa serikali! Hofu yao ni kukwepa aibu,migogoro na kupoteza ubingwa!

Miongoni mwa sharti walilolitoa Kwa wenye mamlaka ni simba isiende kufanya mazoezi siku Moja kabla ya mechi!

KARIBUNI KWA MKAPA HATOKI MTU
Huna akili kichwani.
 
Hii ndio ripoti ya Yanga hizo zingine ni hofu tu ya watu hawataki kusikia Yanga inabadili maamuzi.
Screenshot_20250609-140227_Instagram.jpg
 
Haya mrudi hapa kuleta kebehi zenu kwa Yanga
 
Mbwembwe zoote, ujuaji woote, majigambo yoote, hatimae sarakasi zoote za "HATUCHEZI NG'OO" kifo Cha mende.
Wenye akili walisema,huko ni kujifaragua tu kisa unajiona mkubwa kumbe watoto Wana kuzidi akili!

Yanga wamekubali kupeleka na kuingiza timu uwanjani huku wakifanya maandalizi ya mechi nje ya uwanja Kwa ustadi mkubwa na Kwa kushirikisha watu wazito wa serikali! Hofu yao ni kukwepa aibu,migogoro na kupoteza ubingwa!

Miongoni mwa sharti walilolitoa Kwa wenye mamlaka ni simba isiende kufanya mazoezi siku Moja kabla ya mechi!

KARIBUNI KWA MKAPA HATOKI MTU
Chomoa i
 
Mikia wote mje kwenye andiko lenu msilikimbie.
 
We ni famba, hiyo ilisha ahirishwa na mamlaka za soccer Bodi ya ligi! Nini huelewi?
Kuna wakati unaweza kuhisi mashabiki na wapenzi wa yanga lazima wawe no low thinking capacity,Sasa mechi ilighahirishwa tana na mamlaka Bado anang'ang'ana
 
Back
Top Bottom