Kumekuchaaaaaa....!

Kumekuchaaaaaa....!

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
443
Reaction score
18
diamond.jpg


Katika hali ya kushangaza, binti mmoja maarufu kwa jina la Hilda amejitokeza hadharani kupitia facebook yake na kudai kuwa yupo tayari kugawa penzi kwa diamond hata bure ili naye ajionee kinacho wafanya wanawake wenzie wamgombanie...

Huu ni ujumbe wake

"Hey tsup..!! Diamond nipe penzi lako nionje kinachofanya kila mwanamke akung'ang'anie na kukutaka........

nataka kujua ni ufundi ama una mashine kubwa au spe*m zako zina almasi???.. c'moon plutnumz give me a chanche to one nite


Wema,Wolper,Uwoya,Aunt Ezekiel ...haiwezekani....Mwanaume unacho cha ziada siyo bure...


Nahitaji any time na popote.nitakuvulia chupi bila hofu.take my body right now bro..."
 
Diamond‘Sukari ya Warembo', kwani baada ya kumpitia Uwoya, ni dhahiri kwamba ndani yaKlabu ya Bongo Movie amebakiza wa kuhesabu, tena ni wale ambao mvuto wao ni wakumulika kwa tochi, vinginevyo, vinara wote ameshadondoka nao dhambini.

Kwa kuanzia na JacquelineWolper, Wema Sepetu, Jokate Mwegelo, Aunt Ezekiel, Uwoya ambaye ni MakamuMwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unit pamoja na warembo wengine kibao, niwazi sasa mtandao wa ngono wa Diamond, unagusa karibu asilimia 97 ya mastaa wotewa filamu na muziki nchini...

 
Sasa hapa ndio wazazi waone balaa ya kuiga mila chafu za kigeni. Kweli huyu binti wazazi wake wako hai kweli?? Na kama ni hivyo si bora kutokuwa na mtoto kabisa kuliko mwanaharamu anaekuadhiri mbele ya umma namna hii!! Lahaula walakuwata illah billah. Mungu asitupe watoto kama hawa.Ameen.
Na wazazi wajifunze kutokana na haya. Ww mwanao unamwachia mara bongo flava. Mara kaenda ruka nyoka cd mara rusha roho. Matokeo ndo hayo!!😡
I fell sick. This little shit spoil ma day.
 
ID fake za facebook zinatumika kutengeneza habari na watu wanaziamini kirahisi.
 
ACCOUNT FAKE HIYO,mtu mwenye akili timamu hawez kufanya hivo,kama angekuwa anahitaji kweli c angemfata inbox
 
ID fake hizi nyie msikurupuke..! Wanasiasa tunasema Noble Lie hii imetumika kum~update tuuu jamaaa nyie hamjui behind the scene unachezeka mchezo gani ni hiviii: now days watu wanaishi maisha yao kwa kutengeneza scandal kupitia Media mfano mzuri Wema ambapo saiv amechokwa sasa anatumiwa Uwoya pia alikuwa Kanumba lakini saiv anatumiwa Diamond pia ili magazeti yao yauze pia wahusika wanufaike AMKENI hawa wanafiki tuuu wenzao nchi za nje wanafanya kazi hakuna urafiki wa kubebana kuleeee seriously nawaaambia Shigongo Diamond Wema na bongo movie actors wanacheza na akili za waTZ
 
Katika hali ya kushangaza, binti mmoja maarufu kwa jina la Hilda amejitokeza hadharani kupitia facebook yake na kudai kuwa yupo tayari kugawa penzi kwa diamond hata bure ili naye ajionee kinacho wafanya wanawake wenzie wamgombanie...

nisichoelewa mimi uyo binti ni maarufu au ma- harufu???
 
Ile 60% ya mulugo ina Athari kubwa sana na bado inasambaa kwa spidi ya 3.75G

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom