Wapo bungeni wanampigia pambio, vigelegele na ndelemo m/kit wao wa chama, na mwisho kabisa wanalipwa posho ambayo Ni jasho litokanalo na tozo za wavuja jasho!Mhimili wetu unaotuwakilisha na wenye wajibu wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?
Wazungu wanaita taimu traveliSijuh Huko Nazareth Na maeneo mengine alienda kufanya nini
Ndo kiongozi wa bunge wezake anawapeleka kwenye kamati kisa wamepotosha. Kiongozi kadanganya bunge Yesu Na mke wake inahidi kamati wamjadili kwa matamshi ya kupotosha Na kuvuraga Amani ya Kristo.
Kwani kulikuwa na uchaguzi?Ndugu zangu Watanzania, miezi michache ya hivi karibuni kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha.
Hii inasababisha sisi Watanzania kuishi maisha magumu zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule.
Mhimili wetu unaotuwakilisha na wenye wajibu wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?
🤣🤣🤣🤣
Ndugu zangu Watanzania, miezi michache ya hivi karibuni kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha.
Hii inasababisha sisi Watanzania kuishi maisha magumu zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule.
Mhimili wetu unaotuwakilisha na wenye wajibu wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?
Wakati mwingine wowote?!!😲😲Ndugu zangu Watanzania, miezi michache ya hivi karibuni kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha.
Hii inasababisha sisi Watanzania kuishi maisha magumu zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule.
Mhimili wetu unaotuwakilisha na wenye wajibu wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?
Hujasoma hii habari ya mleta uzi?Huyo ni Mtanzania anageuzwa geuzwa kama chapati ya Mama ntilie kwa sababu ana akili fupi.🤣🤣🤣🤣
Gwaji boy kwisha habari yake...
Kila mtu na tafsiri yakee...Hujasoma hii habari ya mleta uzi?Huyo ni Mtanzania anageuzwa geuzwa kama chapati ya Mama ntilie kwa sababu ana akili fupi.
Imagine mleta uzi anazungumzia mhimili unaotuwakilisha kana kwamba bunge tulilonalo lilichaguliwa na wananchi.Mtanzania ni binadamu mwenye akili fupi sana.
Mimi huwa nasoma mada za watu humu naishia kusikitika sana.
Kuna tafsiri ambazo siyo sahihi pia.Kila mtu na tafsiri yakee...
Hakuna tafsiri isiyo sahihi ktk kazi ya sanaa...Kuna tafsiri ambazo siyo sahihi pia.
Bunge rubber stamp halikuwakilishi wewe mwananchi.Ndugu zangu Watanzania, miezi michache ya hivi karibuni kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha.
Hii inasababisha sisi Watanzania kuishi maisha magumu zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule.
Mhimili wetu unaotuwakilisha na wenye wajibu wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?
Ngoja kwanza tumalizane na hawa wanao tuzingua. Baada ya kumalizana nao, ndipo sasa tutakuja kuwasikiliza shida zenu.Ndugu zangu Watanzania, miezi michache ya hivi karibuni kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha.
Hii inasababisha sisi Watanzania kuishi maisha magumu zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule.
Mhimili wetu unaotuwakilisha na wenye wajibu wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?
Kosa lililofanyoka 2015 litaendelea kututesa mpaka hapo Mungu atakpoingilia katiNdugu zangu Watanzania, miezi michache ya hivi karibuni kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha.
Hii inasababisha sisi Watanzania kuishi maisha magumu zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule.
Mhimili wetu unaotuwakilisha na wenye wajibu wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?