Kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha, mhimili wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?

Kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha, mhimili wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?

Mkuu Bado unaunga mkono Sanamu la Samia kujengwa?😂😂😂
 
Watakuambia janga la Corona,utafikiri Corona Ina miezi 8 tangu ilipuke.
 
Am telling you nimetoka Kijijini Nyanda za Juu kusini wamechukia sana utawala huu hasa kwenye Bei ya mbolea. Wakulima wanalalamika balaa
 
Inflation kwa sasa hata mzee baba US wamenyoosha mikono jana Powell kaishia kubwabwaja tu kwenye FOMC
Mkuu nikusahihishe kidogo, inflation kwa wenzetu ni sehemu ya kunusuru uchumi yaani kukiwa na janga ambalo linaweza kufanya uchumi uyumbe mfano UVIKO-19 benki kuu upunguza riba, watu hukopa kwa riba nafuu na kuwekeza na hivyo kufanya mzunguko wa pesa kuwa mkubwa mtaani....pesa ikiwa nyingi mtaani vitu hupanda bei! Hali ikitengamaa na janga kupungua benki kuu huongeza riba kama ulivyoona jana USA na leo UK (Nimeona umetaja FOMC, bila shaka wewe ni mfuatiliaji wa macroeconomic news)

Hapa kwetu inflation sio sawa na wenzetu...huku wahindi wakishirikiana na wabongo na viongozi wetu wa kisiasa huficha bidhaa na hivyo kutengeneza uhaba, huku wakigoma bidhaa "adimu" kuingizwa kutoka nje ya nchi!

Sijasomea uchumi, wenye fani zao wataongezea zaidi...fani yangu ni kusafisha vidonda!
 
Mnataka niwaaambieje kweni nyie hamuendi kufanya manunuzi ,kipi bei haijapanda.


Ni miezi tu tangu Samia achukue kitu kila kitu kinapaa tena kina kimbia hasa.

Wananchi wanahasira tena inafuka na hasira hizi ni kwenye box la kura .

Mwigulu yupoyupo tu hataki kupambana na walanguzi hasa magabachori kila mtu anauza atakavyo ni matatizo

Samia anauwa uchumi na taifa halitamsamehe

USSR
Ati! Hata wewe lumumba fc bei za bidhaa zimepanda kwako? Hebu tulia na acha kulia mama anaijenga nchi! Mbona hukusema lolote pale mwigilu alivyotangaza uhamisho wa kwenda Burundi?
Ulijisahau Sana na kupitwa na zile semi za wahenga zilizotuasa kuwa, " lisemwalo lipo na kama halipi linakuja"! Wanaccm shangilieni mafanikio mapana ya ccm! Na Bado!
 
Kutengeneza uchumi uliovurugwa na Magufuli kwa umbumbumbu wake kwa miaka 5 siyo lelemama. Sera, mikakati na mipango ya uchumi haiwezi kukupa majibu ya haraka haraka. Kuna sera zitaumiza mwanzoni lakini mwishoni tuta stabilize.

Vitu kama unemployment, investment and FDR, harsh tax policies, implementation of mega projects simultaneously kwa Mwendazake ni maeneo ambayo alifanya vibaya
 
Jerome Powell yupo na kaongea kweli.
Tusikariri mambo.
Huyo siyo retired Four Stars General Collin Powell aliyefariki kwa COVID 19.
Ok sawa ,so beberu Powell anaishu gani hapa town

USSR
 
Sasa hivi bidhaa zilizokuwa zinatoka Tanzania na kuingizwa nchi jirani, zimegeuka zinatoka nchi jirani na kuingia Tanzania.
 
Back
Top Bottom