Inflation ya Bongo ni Man made sio ya kiuchumi.Inflation kwa sasa hata mzee baba US wamenyoosha mikono jana Powell kaishia kubwabwaja tu kwenye FOMC
Na inapanda kila mwezi kama sio wiki.Hii bei ya mbolea ndio imeharibu kila kitu!
Naunga mkono hoja,Nashauri itengezwa hela yenye sura ya Rais Samia, sababu itachukua miaka hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu
Tafuta hela zimeachiwa mtaani acha kulia lia🐒We mabange tunakula bangi na kujengea bangi
USSR
Uoga gani bwana mwigulu??Acha woga kijana
USSR
😂😂😂😂 anajua mwenyewe kamsikia wapi akiongea.
Hahahaaaa.......!
😂😂😂😂 anajua mwenyewe kamsikia wapi akiongea.
Jerome Powell yupo na kaongea kweli.Acha uwongo,,powel ALIISHAFARIKI
That's ironic USSR. Collin Powell alifariki Oktoba mwaka huu.Powell yupo ,ok hata mifugo imepaa bei
USSR
Mkuu nikusahihishe kidogo, inflation kwa wenzetu ni sehemu ya kunusuru uchumi yaani kukiwa na janga ambalo linaweza kufanya uchumi uyumbe mfano UVIKO-19 benki kuu upunguza riba, watu hukopa kwa riba nafuu na kuwekeza na hivyo kufanya mzunguko wa pesa kuwa mkubwa mtaani....pesa ikiwa nyingi mtaani vitu hupanda bei! Hali ikitengamaa na janga kupungua benki kuu huongeza riba kama ulivyoona jana USA na leo UK (Nimeona umetaja FOMC, bila shaka wewe ni mfuatiliaji wa macroeconomic news)Inflation kwa sasa hata mzee baba US wamenyoosha mikono jana Powell kaishia kubwabwaja tu kwenye FOMC
Ati! Hata wewe lumumba fc bei za bidhaa zimepanda kwako? Hebu tulia na acha kulia mama anaijenga nchi! Mbona hukusema lolote pale mwigilu alivyotangaza uhamisho wa kwenda Burundi?Mnataka niwaaambieje kweni nyie hamuendi kufanya manunuzi ,kipi bei haijapanda.
Ni miezi tu tangu Samia achukue kitu kila kitu kinapaa tena kina kimbia hasa.
Wananchi wanahasira tena inafuka na hasira hizi ni kwenye box la kura .
Mwigulu yupoyupo tu hataki kupambana na walanguzi hasa magabachori kila mtu anauza atakavyo ni matatizo
Samia anauwa uchumi na taifa halitamsamehe
USSR
Wambie wananchi waache wenge. Kura zao hazina hata maana. Umesahau tuliweka kura fake mwaka jana? Hizo wanazopiga wananchi ni kupoteza muda tuWananchi wanahasira tena inafuka na hasira hizi ni kwenye box la kura
Wakenya wamemwagika kila kona wamalangua hata mahindi yamepaa sana.Powell yupo ,ok hata mifugo imepaa bei
USSR
Ok sawa ,so beberu Powell anaishu gani hapa townJerome Powell yupo na kaongea kweli.
Tusikariri mambo.
Huyo siyo retired Four Stars General Collin Powell aliyefariki kwa COVID 19.