kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,150
Sababu hii inachangia sana. Wanatengeneza hapa wanachimba wanaacha wanaamia pengine.3.utengenezaji wa barabara za mwendokasi?
Kumekuwa na ongezeko la foleni kubwa jijini Dar es Salaam, hasa kwenye barabara za kutoka Mwenge kwenda Tegeta, Mwenge kwenda Buguruni, na Posta kuelekea Mwenge, hasa nyakati za asubuhi na jioni.
Je, sababu ni magari kuongezeka? Au ni miundombinu ya barabara kuwa mibovu? Au ni kutokana na utengenezaji wa barabara za mwendokasi?
Maana kwa Dar es Salaam unaweza kupanga kufanya mishe sehemu nne au tano kwa siku, lakini ukaishia kwenda sehemu moja tu hadi jioni ikakukuta njiani. Kwa hali kama hii, maendeleo yanaweza kweli kwenda kwa kasi?
Nina ndugu yangu aliyetoka mkoa na kuja kunitembelea. Siku anaondoka aliniambia, “Huu mji mnauweza ninyi, mimi siwezi. Kuishi hapa hata nipewe bure, kila kitu foleni.”
Nini mtazamo wako kuhusu foleni zinazoendelea hapa Dar? Na nini kifanyike?
Kabisa mkuu Wana tabia ya gusa hapa acha nenda pale, yaani viporo viporo tu!Sababu hii inachangia sana. Wanatengeneza hapa wanachimba wanaacha wanaamia pengine.
Hata mimi kwakweli Dar kunaniboa sana,foleni kila mahali,ukisema uende kama kariakoo ndio balaa yani ni mwendo wa kugongana vikumbo tu,wacha tu niendelee kula raha huku village...Kumekuwa na ongezeko la foleni kubwa jijini Dar es Salaam, hasa kwenye barabara za kutoka Mwenge kwenda Tegeta, Mwenge kwenda Buguruni, na Posta kuelekea Mwenge, hasa nyakati za asubuhi na jioni.