Habari
Jumanne Mustapha, asante kwa kuwasiliana nasi, na tunaomba radhi kwa changamoto hiyo.
Tumepokea taarifa yako, na wataalamu wetu watafika kabla ya siku ya Ijumaa kwa ajili ya kufanya uchunguzi na kutatua changamoto hiyo.
Tafadhali tutumie namba yako ya mawasiliano kupitia ujumbe binafsi (Inbox) ili kurahisisha mawasiliano wakati wa utatuzi wa changamoto hiyo.
Asante.^FL