Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Nina kereka sana kuona vijana wengi wa kiume kujiwekea utamaduni ambao kwangu na utafsiri kama kuongeza matukio ya kuvunja maadili ya Kitanzania ikiwemo 'ushoga'.
Siku hizi ukiingia kwenye mitandao ya kijamii mfano Tiktok Instagram au Facebook unakutana na video za vijana wa kiume wakiigiza kwa watoto wa kike tena wanafanya mambo kuliko hata hao wanawake. Jamani huwa nikiona hivyo naumi sana na kuwaza mengi kwenye kizazi kinachokuja.
Kuigiza kama wanawake kwa wanaume ni moja ya jambo linalochechea kuharibika kwa maadili sana. Je ndiyo njia rahisi ya kupata pesa? au ni kuiga tamaduni ya mataifa ya ulaya au mataifa mengine ambayo inaonyesha wazi kubariki mambo kama hayo?
Kwa kweli kama serikali wapo siriazi na kulinda maadili ya vijana wetu basi hii walitazame lakini wakilichulia powa basi tunazidi kupoteza nguvu kazi ya vijana wa kiume maana wengine wanaigiza na kuyafanya kweli kabisa.
Kwa leo yangu ni hayo!