Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
Kabla sijajiingiza kichwa kichwa naomba kupata mrejesho ambao mlitangulia kwenye huu mgao hii kitu ni ya kweli?
Sizani kama kuna watu wanauelewa na hii kitu nimeona wengi wakipost na kujimwambafai kwamba wamesaidiwa na hili shirika.
Mimi utafiti wangu wa mchongo ikabidi nifanye kujiridhisha wanataka nini kabla ya kusema umepata promotion kutoka UNICEF FOUNDATION na kujiridhisha kwamba hawa UNICEF FOUNDATION kweli wanafanya hili kwa usahihi! Majibu niliyoyapata ni haya
Walipofikia hapo nikasepa sikutaka ujinga na wizi wa wazi wazi sasa najiuliza hawa watakuwa wamecheza sana hii michezo na wamepata pesa nyingi sana kwa wizi huu.
Na Watanzania wengi wanapenda vitonga sizani kama wanafikiria kuibiwa