Kumekuwepo na promotion inayoitwa UNICEF FOUNDATION hawa siyo wezi mtandao kweli?

Mm huwa naamini hamna hela inayopatikana kirahisi!....achana na huo utoto utatapeliwa aisee
 
Kabla sijajiingiza kichwa kichwa naomba kupata mrejesho ambao mlitangulia kwenye huu mgao hii kitu ni ya kweli?
View attachment 2968941
Sizani kama kuna watu wanauelewa na hii kitu nimeona wengi wakipost na kujimwambafai kwamba wamesaidiwa na hili shirika.

Mimi utafiti wangu wa mchongo ikabidi nifanye kujiridhisha wanataka nini kabla ya kusema umepata promotion kutoka UNICEF FOUNDATION na kujiridhisha kwamba hawa UNICEF FOUNDATION kweli wanafanya hili kwa usahihi! Majibu niliyoyapata ni haya
View attachment 2968937
View attachment 2968938
View attachment 2968939
Walipofikia hapo nikasepa sikutaka ujinga na wizi wa wazi wazi sasa najiuliza hawa watakuwa wamecheza sana hii michezo na wamepata pesa nyingi sana kwa wizi huu.

Na Watanzania wengi wanapenda vitonga sizani kama wanafikiria kuibiwa
Kuweni makini ni matapeli wa mtandaoni +254 102 269805
 
Matapeli hao muwe makini. Wanatumia namba nyingi kutapeli +254102143329 +254102269805 +254794812691
 
Back
Top Bottom