Kumezuka tabia ya mafundi magari kukata exhaust za magari ya watu bila wao kujua. Mwenye gari Tafadhari soma hii

Asante sana kwa taarifa hii nzuri. Kesho nawahi kwa mafundi wakanisaidie kuchungulia maana nimeona hitilafu ya mngurumo wa gari baada ya kutoka kwa fundi na gari nikaacha kwake kwa muda wa siku 3 hivi.
 
Kuoshea gari mtaani unaharibu rangi,maji yao yanakua na mchanga kwahiyo akipitisha kitambaa anakwaruza rangi...gari oshea carwash ambayo unaiamini

Sio tu mchanga hata hardwater yenye magnesium na calcium pamoja na chlorine yana fanya bleaching ya rangi ya gari yaani gari inapauka. Kama una kaa eneo lenye hardwater lazma gari yako ujue unaosha wapi kwenye soft water. Texture ya maji unaweza i feel kwenye sabuni. Ukiona sabuni haitoi povu jingi jua ni maji magum hayo [emoji2][emoji2]
 
Ilinitokea mwaka juzi arusha nkastuka kumrudia fundi na mkwara mzito,akakubali kureplace ingine....gari nilipeleka kupiga bumper ya nyuma rangi,kutoka mjini mpka usa imekula mafuta ya kutosha ikabidi nigeuke na kurudi garage nlishashtuka nimepigwa

Aisee bora ulistuka mapema sana maana uspostuka mapema ni rahisi jamaa kukukataa
 
Asante sana kwa taarifa hii nzuri. Kesho nawahi kwa mafundi wakanisaidie kuchungulia maana nimeona hitilafu ya mngurumo wa gari baada ya kutoka kwa fundi na gari nikaacha kwake kwa muda wa siku 3 hivi.

Bro niamini mm tayari umesha pigwa. Ila relax mjue fundi alie kupiga then kapambane nae. And usisahau kuja kutupa mrejesho hiyo kesho
 
Nimeuza sana huu unga kipindi hicho nikiwa mkata magari na sijawahi jua unaenda kufanyiwa kazi gani, lakini cha kushangaza wanunuaji wa hii bidhaa wako makini kweli kama wanunua Dhahabu.

Lakini pia kuna njia nyingi wapigaji wa huo unga wanatumia usikalili kutoboa tu wengine hufungua na kutoa unga nusu na kisha hufunga vizuri wala hutajua nini kimefanyika.

Aisee bro naomba namba yako nikupigie unisaidie maana wasije wakapata exhaust iliyopigwa
 
Bro niamini mm tayari umesha pigwa. Ila relax mjue fundi alie kupiga then kapambane nae. And usisahau kuja kutupa mrejesho hiyo kesho
Asante sana mkuu. Yaani asubuhi ni temeke. Nime ku DM check.
 
Nimeuza sana huu unga kipindi hicho nikiwa mkata magari na sijawahi jua unaenda kufanyiwa kazi gani, lakini cha kushangaza wanunuaji wa hii bidhaa wako makini kweli kama wanunua Dhahabu.

Lakini pia kuna njia nyingi wapigaji wa huo unga wanatumia usikalili kutoboa tu wengine hufungua na kutoa unga nusu na kisha hufunga vizuri wala hutajua nini kimefanyika.
Naomba utusaidie hiyo njia nyingine tafadhali. Utaokoa wengi.
 
Mkuu
Asante sana kwa taarifa yako. Hebu tusaidie wakishafanya huo upuuzi wao, gari yangu itakuwa na madhara yapi nikiendelea kuitumia? Na ni lazima nirudishie kilichoibiwa au naweza endelea kutumia Kama hakuna kilichotokea?
 
Mbona me hayo Masega kwenye Mafula nilitoa Mwenyewe baada ya kuziba Gari ikawa inakosa Nguvu au ni kitu tofauti na baada ya kutoa kilichobadilika ni Muungurumo tu wa Gari but performance iko vilevile
 
Gari kama haina shida wanatoa ya nini? Toa kama gari inakosa nguvu lakin kumbuka ukitoa hayo makitu la ma muungurumo ubadilike na lazma fuel consumption iongezeke
 
Mie nauza ya gari yangu anayejua soko lilipo anijulishe tuu.

Nimetoa kwenye scania tipa 93 na pia kwenye hilux vigo siyataki haya madude sasa niambieni soko liko wapi.
 
Karibu nikuuzie boss

0755155782
 
Gari kama haina shida wanatoa ya nini? Toa kama gari inakosa nguvu lakin kumbuka ukitoa hayo makitu la ma muungurumo ubadilike na lazma fuel consumption iongezeke
Kwangu kilichobadilika ni Muungurumo tu consumption ya mafuta ni ile ile na Mwaka sasa toka niyatoe.
 
Kuna jamaa fulani ndo ilikuwa michezo yake siku si nyingi kabananishwa kapewa kipigo cha mbwa mwizi. Nyumbani kamdanganya wife kapata ajali.
 
Mbona me hayo Masega kwenye Mafula nilitoa Mwenyewe baada ya kuziba Gari ikawa inakosa Nguvu au ni kitu tofauti na baada ya kutoa kilichobadilika ni Muungurumo tu wa Gari but performance iko vilevile
Huu ni uongo mkubwa wa kusema gari inakosa nguvu
 
Back
Top Bottom