Kumfagia Sadio Ntibanzokiza ili kutengeneza nafasi ya ujio wa Aziz Ki ni Uamuzi bora kabisa wa mwaka 2022.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Ndio.

Katika ile nafasi palikuwa na Yacouba Sogne (25), Saido Ntibanzokiza (37) na Bernard Morrison (28) akiwa njiani kurudi.

Yes ulikuwa uamuzi mzuri zaidi uliojaa maono ya kujenga timu kwa ajili ya muda mrefu zaidi.

Ujio wa Aziz umetupa kitu cha ziada ktk eneo la kati. Nina amini hakuna anaye juta kuondoka kwake pale Yanga SC ukizingatia katika nafasi yake kulikuwa na wachezaji wenye kiwango sawa na yeye.

Sometime unaweza ukatakata tu mara moja lakini maga zote "form is temporary, class is permanent".

Thank You GOD for AZIZ KI.
Best Player In Africa (BPiA)
 
Chaijaba
 
Ama kweli sizitaki mbichi hizi!

Hebu tutajie, ni wachezaji wangapi Yanga Sc ya sasa wenye kiwango sawa na Ntibazonkiza?

Kubali ukweli myfriend uishi kwa amani moyoni, kile kiwango cha Saidoo hakuna shabiki yeyote mwenye akili timamu ambaye hatataka kumuona kwenye timu yake...

Jamaa ana nguvu, anapiga mashuti kwa miguu yote miwili, ana assist, anajua goli lilipo, ana force, inshort hakabiki!.

Talking about age, ok, Sogne ana 25 but where is he na hiyo miaka yake? majeruhi!, Morisson ana 28 ryt? where is he now? anavuta bangi sijui wapi huko!

Saidoo 37 okk, but you know what about him.. anagonga hatrick na assist moja kwenye game moja..helloow!
 
Best player in africa anacheza Yanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Best player in africa anacheza Yanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mo Salah na Sadio Mane wanasubiri hapo
Umemsahau yule mchezaji tuliyemtoa new castle Bigirimana alisema amekuja kuchezea timu ya ndoto zake Yanga na hakosi first eleven
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…