Kumfuatilia your ex

vanmedy

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
2,701
Reaction score
1,406
hii kitu nimekuwa nikijiuliza sana
1. kwanini inakuwa ngumu kuacha kufuatilia anayofanya ex wako though mlishabreak up.... tena wataka kujua anatoka na nani na yakoje mahusiano yao
2. kwanini majority huwaombea mabaya wapenzi wao wa zamani ktk mahusiano yao mapya
3. kwanini wengi kati ya walioachana wana katabia ka kukutana kukumbushia/kulana tunda no matter kila mmoja yupo kwenye mahusiano na mwingine
kama yapo mengine ongezea
 
Hii ni hali waliyonayo watu wengi sana, wengi wanapenda kwaona ma-ex wao wakiwa hawana miguu yote....
 

Kama unaendelea kumfuatilia basi yawezekana bado unampenda aidha alikupiga kibuti
 
kwa ambao wana ma ex wa hivi karibuni watuambie...wengine sie ma ex wetu ni wa miaka 10 iliyopita mpaka tumeshawasahau
 
1.Obssesion. . .
Kuna watu wako/mnaweza mkawa obssesed na maisha ya watu wengine badala ya yenu binafsi.
2. Wivu. . .
Sijui we ndo unakua umeacha/umeachwa ila unakua bado una hisia na mwenzio hivyo unamfuatilia ili kujiridhisha kama nae bado ana hisia na wewe au asha-move on.
3. Kukosa kazi. . .
Ukiwa busy huwezi kuwa na muda wa kumchunguza mtu ambae kwa kifupi HAKUHUSU tena.
4. Ung'ang'anizi. . .
Hizo ni dalili za mtu king'ang'anizi ambae kama ndio aliyeachwa basi anakua hakubali kuachwa.

Yote hayo ni matatizo . .kubali yamepita uendelee na maisha.
 
Ukiachwa ndio utapata muda wa kumfuatilia ila kama wewe ndio umeacha hata time ya kumfuatilia hupati!
 
Si wote......
wengine huwa tunafukia kwenye kaburi la sahau......
 
Ukiachwa ndio utapata muda wa kumfuatilia ila kama wewe ndio umeacha hata time ya kumfuatilia hupati!

hata ukiachwa......unamfuatilia ili iweje.......?
 

Kwa yoyote anaefanya haya kwa sababu ya kuachwa(maana aliekuacha sidhani kama atakua na huo muda mchafu,na nimaamuzi yake kukuacha)atakua na utindio wa ubongo!!!! Kwani wanawake/wanaume wameisha mpaka ujitie pressure na mtu ambae hakutaki???mapenzi hayalazimishwi jamani. N kwanini umuombee vibaya mwenzio eti kisa amekupiga kibuti???stupid!
 
hata ukiachwa......unamfuatilia ili iweje.......?

Hello sweetie,mzima wewe?
Hapo ndio mie nashindwa kuelewa binadamu wengine sijui wakojeeeeeee aaarrrggghhhh......kwa anaenifatilia naona atakua anajiumiza kichwa zaidi na kama ananiombea maisha yangu yawe mabaya au nipate kilema or anything, yani hapo ndio atakua marehemu karibuni maana mambo hayatakua kama ayatakavyo.
 
ni malavidavi ya ki.COM haya... siku hizi kichefuchefu sana tu!!! watu wanajiita wameachana ila wanaendelea kufatiliana na huku wana wapenzi wapya, nyakati mwingine si kufatiliana tu.... hata kupeana mialiko ya kukumbushia enzi (ku-DO)!!!, utasikia x anamwambia mwenzake... "nimekumiss leo fanya basi mpango tukutane pale pale kwa siku zote", hapo ujue ni kawaida yao sana tu kufanya huo mchezo, halafu wakiwa kunako kwa kuwa wote wezi, wanaamua kuzima na simu kabisa wasisumbuliwe... wakirudi kwa wapenzi wao wanaowaita wa ukweli, macho makavuuuuuu, eti nilikuwa kwa uncle na simu ilizima chaji, au nilimpitia rafiki yangu ashura wa kimanzichana kafiwa na wifi yake... halafu utaona fasta anawahi kuoga na kutangaza kachoka anataka alale mapema leo..... siku hizi hamna wake na waume, ni magumegume na magubegube tu....
 
Ni uzinzi na uasherati tu.Whats done is done.Ya nini kurudi rudi nyuma.
 
Kama unaendelea kumfuatilia basi yawezekana bado unampenda aidha alikupiga kibuti

i remember once nlikuwa na gf kwa almost a year then nkaenda chuo naye akaenda kwao rombo mchaga yule..... tukapoteza mawasiliano.. nikaja kuonana nae naingia 3rd year na ana mtoto wa miezi minne...
CHAAAJABU ALINIGANDA HUYOOO.AKAWA HADI ANALIPA WATU AJUE NATOKA NA NANI NA APATE RATIBA ZANGU.... thank god yalipita
 

mmnnn ok...coz it reached a time nkawa naamini its human nature... kwa niyaonayo kwa wadau wanizungukao
 

duuuh mjomba umeua
 
honishangaza mimi eti mume na mke wameachana kabisaa lakini utwashangaa eti wanachukuwana kinyemela kwenda ku do!! hili huwa linanishangaza sana.
 
honishangaza mimi eti mume na mke wameachana kabisaa lakini utwashangaa eti wanachukuwana kinyemela kwenda ku do!! hili huwa linanishangaza sana.

hilo mimi binafsi nna ushahudi 100%
 
sasa sibora huyo anae mfuatilia ex wake mimi bro wangu anamfuatilia house girl wetu km gf wake anapgana hadi na watu mtaani wakati dada zetu hajawahi kuwafuatilia sijui imekaaje may be jamaa anataka kukaa hapo maana simuelewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…