vanmedy
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 2,701
- 1,406
hii kitu nimekuwa nikijiuliza sana
1. kwanini inakuwa ngumu kuacha kufuatilia anayofanya ex wako though mlishabreak up.... tena wataka kujua anatoka na nani na yakoje mahusiano yao
2. kwanini majority huwaombea mabaya wapenzi wao wa zamani ktk mahusiano yao mapya
3. kwanini wengi kati ya walioachana wana katabia ka kukutana kukumbushia/kulana tunda no matter kila mmoja yupo kwenye mahusiano na mwingine
kama yapo mengine ongezea