Hofu yao ni 2030.wanajua bila ya kumfuta uanachama itawawia ngumu kutoboa.ccm ni mbwa na wachawi wakubwa.hao ni ng'ombe tu.Ukiangalia sura za Viongozi na wafanya Maamuzi,utadhani ni wacha Mungu na wenye kutanguliza watu wengine na utu! Kumbe ni Manyang'au
Mtu amewaachia Mavyeo,mna haja gani kuendeleza ajenda yake? Mungu asipomfuta mtu mtafanya kazi ya kuchosha. Mtoa wazo hilo na waliotekeleza Mungu awalipe kadri ya usaliti wao.kila anayechimbia watu mashimo,lazima ataingia humo. Watu wenye roho mbaya kama hizo ni wauaji na Wachawi tu.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake!