Kumhamisha Mbunge Humphrey Polepole kutoka Kamati ya kudumu ya Utawala bora na Serikali za Mitaa kumelenga nini?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kuna taarifa kwamba Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai amefanya mabadiliko kwenye kamati za kudumu za bunge , na kumhamisha Mh Mbunge Humphrey Polepole kutoka kamati ya awali ya Utawala na serikali za mitaa na kupelekwa Kamati ya Sheria ndogo .

Swali ni hili , Mabadiliko haya yamelenga nini ?
 
Yanalenga kuboresha utendaji katika kamati. Pia Wahe. Wabunge, mtakumbuka kwamba Mh. Polepole ni mzoefu katika masuala ya sera na kutunga Sheria, uzoefu alioupata katika Tume ya Katiba, na pia ni mwalimu mzuri tu eeehsasa uzoefu huo ukatusaidie huko kwenye by-laws
 
Kuna taarifa kwamba Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai amefanya mabadiliko kwenye kamati za kudumu za bunge , na kumhamisha Mh Mbunge Humphrey Polepole kutoka kamati ya awali ya Utawala na serikali za mitaa na kupelekwa Kamati ya Sheria ndogo .

Swali ni hili , Mabadiliko haya yamelenga nini ?
Mabadiriko ya kawaida.
 
Back
Top Bottom