Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwani Spika ana madaraka kuchagua mwenyekiti wa Kamati?Sio kumhamisha tu sema kuondolewa kwenye uenyekiti wa Kamati.
Sio kamati mpya.Kwani Spika ana madaraka kuchagua mwenyekiti wa Kamati?
Mwenyekiti wa Kamati anachaguliwa na wajumbe siyo Job
Mabadiriko ya kawaida.Kuna taarifa kwamba Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai amefanya mabadiliko kwenye kamati za kudumu za bunge , na kumhamisha Mh Mbunge Humphrey Polepole kutoka kamati ya awali ya Utawala na serikali za mitaa na kupelekwa Kamati ya Sheria ndogo .
Swali ni hili , Mabadiliko haya yamelenga nini ?
Kwani Kamati ikiwa mpya ndiyo Spika anachagua mwenyekiti?Sio kamati mpya.
Uko sahihi, uenyekiti hauhamishwihuyo ameondolewa kwenye uenyekiti wa kamati
Punguza chuki za kijinga kima wewe! Ukiona huoni cha kuchangia/kuleta hoja piga kimya!.Jf sikuizi imekua na watu wajinga wajinga sana!Ilitakiwa avuliwe hata huo ubunge wenyewe halafu wangempa kazi ya kulinda na kusafisha kaburi la hayati kule Chato.
Support, hapa umeongea point sana tena sana. Chato kwao ilikuwa MUNGU, hivyo kusafisha kaburi la MUNGU wao ni sawa kabisawangempa kazi ya kulinda na kusafisha kaburi la hayati kule Chato.
Chizi mwingine huyu!Support, hapa umeongea point sana tena sana. Chato kwao ilikuwa MUNGU, hivyo kusafisha kaburi la MUNGU wao ni sawa kabisa
Ya kawaida kwa mawaziri walioenguliwa wapingiwe kamati lakini sio kwa mwenyekiti wa Kamati kuondolewa kwenye kamati yake akawe mjumbe wa kawaida kwenye kamati nyingine.Mabadiriko ya kawaida.
Wewe π π π πAmeanza kupinga chanjo ya malaria lakini hajawahi kusikiliza kupinga matumizi ya ARV na kushauri watu watumie tiba asili.
Mjinga bb yakoPunguza chuki za kijinga kima wewe! Ukiona huoni cha kuchangia/kuleta hoja piga kimya!.Jf sikuizi imekua na watu wajinga wajinga sana!