Kumhamisha Mbunge Humphrey Polepole kutoka Kamati ya kudumu ya Utawala bora na Serikali za Mitaa kumelenga nini?

Huyo sasa hivi ni adui wa awamu hii maana kumbuka yeye ni sukuma push.
 
Jajawahi kufanya jambo kwa mafanikio zaidi ya kutembelea nyota ya mh Jaji Warioba
 
Kwani Spika ana madaraka kuchagua mwenyekiti wa Kamati?

Mwenyekiti wa Kamati anachaguliwa na wajumbe siyo Job
Lkn Job anakuwa na ushawishi mkubwa kwenye huo uchaguzi
 
Sio uyo tu ila pia Kalemani na Chamuriho wapelekwa huko pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…