Kumhamisha Mbunge Humphrey Polepole kutoka Kamati ya kudumu ya Utawala bora na Serikali za Mitaa kumelenga nini?

Kwani kuna mtu aliyekuita,msenge mkubwa.
Hahaha, shukuru jF kuweka anonymity watu mnajificha na kubishana na watu ambao mkikutana nao kitaa mnakuwa na ndoto za kuwa kama wao.

Kuitwa masikini (wewe) kusikufanye upanick, ongeza bidii ya kazi badala ya kushinda humu jF.
 
Tatizo unadhani kila mtu ni masikini kama wewe, kuna hakuna comment yako juu ya mada za kisiasa ambayo haujazingatia neno "Sukuma gang"

Unachotakiwa kujua ni kwamba, hakuna mtu yeyote aliyekuwa ndani ya hiyo crew mnayoiita Sukuma gang ambae bado ana njaa.Mambo mengine ni upigaji wenu wa kelele tu hapa jF.
Sasa wewe mbwa unajitia kuvimba kuna mtu amekuomba chochote umsaidie! Huyo basha wenu mwenyewe alikuwa lofa tu ndio maana akawa na roho mbaya.
 
Kuna wenye nchi( wa sasa hivi), kuna waliokuwa wenye nchi(mnaowaita Sukuma gang), hao wote hawana njaa.

Kuna nyinyi mashabiki wa mitandaoni, ambao ni njaa kali,na mkiambiwa ukweli mnachukia.

Haujaniomba kitu ila kupitia comment zako naona kabisa wewe ni fukara, hili sibahatishi.
 
Hahaha, shukuru jF kuweka anonymity watu mnajificha na kubishana na watu ambao mkikutana nao kitaa mnakuwa na ndoto za kuwa kama wao.

Kuitwa masikini (wewe) kusikufanye upanick, ongeza bidii ya kazi badala ya kushinda humu jF.
Nimeshakujibu toka mwanzo humu kuna watu wa aina tofauti na hatufahamiani kwahiyo siwezi kutishika kwa wewe kujifanya ni mtu mwenye uwezo kwani ukweli unaujua mwenyewe na wewe wala hujui chochote kuhusu mimi ila nimeamua nikutukane uwe na akili kidogo.
 
Kuna wenye nchi( wa sasa hivi), kuna waliokuwa wenye nchi(mnaowaita Sukuma gang), hao wote hawana njaa.

Kuna nyinyi mashabiki wa mitandaoni, ambao ni njaa kali,na mkiambiwa ukweli mnachukia.

Haujaniomba kitu ila kupitia comment zako naona kabisa wewe ni fukara, hili sibahatishi.
Kama hiyo ndio furaha yako unafikiri nitakufanyaje labda ndio umeona ndio namna ya kumtetea huyo unayempigania.
 
Nimeshakujibu toka mwanzo humu kuna watu wa aina tofauti na hatufahamiani kwahiyo siwezi kutishika kwa wewe kujifanya ni mtu mwenye uwezo kwani ukweli unaujua mwenyewe na wewe wala hujui chochote kuhusu mimi ila nimeamua nikutukane uwe na akili kidogo.
Ukijijua wewe ni mwananchi wa kawaida unatakiwa uwache kuwa na hoja za Usukuma gang na Umsoga gang kwakua hamnufaiki na chochote.
 
Sawa tajiri, kama unaona ndio njia ya kujipoza endelea.
 
Ndio maana nakuambia humu hatujuani nina uhakika huna umri wa kuniita mimi ni kijana kwako.
Unasisitiza kuwa hatujuani lakini bado unasema una "uhakika" kuwa sina umri wa kukuita wewe kijana?

Basi sawa mzee mwenzangu.
 
Back
Top Bottom