Baada a kupatikana kwa taarifa kuwa darasa amepata ajali akiwa katika moja safari zake, asilimia kubwa(si kubwa sana lakini inavuka nusu yao) wamemhusisha diamond na tukio la ajali daresa.
Hivi ajali yaa msanii ni ushirikina?
Kuna wasanii wangapi waliopoteza maisha yo kwa ajali...kwa nini ya darasa ihusihwe na ushirikina
Huenda labda wachangiaji wanafanya kwa utani,,kama ni hivyo tuangalie na vitu vya kutania basi,
na ni kwa nini awe diamond na sio mtu mwingine!
kwa nini msiseme kuwa ali kiba amehusika kwa kuwa darasa amechukua nafasi yake ya kupambanishwa na domo!
watanzania tuwe na staha na hakiba ya maneno
na nimeona kuwa ikitikea darasa akashuka kwa kushindwa kuweka
mipango yake vizuri, watu watamhusisha domo.
ushabiki usitutoe akili
tusiwajengee roho ya kuchukiana wao kwa wao
pole yao na tunashukuru wametoka wazima.