MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
- #61
Hao uliowataja ni wazuri ila kura hazikutosha.Namba 7 tumepigwa. Wapi Mshana Jr mpwayungu village Bujibuji Simba Nyamaume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao uliowataja ni wazuri ila kura hazikutosha.Namba 7 tumepigwa. Wapi Mshana Jr mpwayungu village Bujibuji Simba Nyamaume
Wivu unakusumbuaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeee.Namba 7 tumepigwa. Wapi Mshana Jr mpwayungu village Bujibuji Simba Nyamaume
HakunaKwenye burudani yupo Mkurya fulani anaitwa UMUGHAKA
Sisi wenyeji wa intelligence kule hapo memjua mayalla na mshana wwengine labda majukwaa ya mahusiano .hivo mtazamo wako unaanzia unafatilia nn mfano mm ngempa ushindi KirangaKwa maoni yangu wafuatao ni kumi bora ya wanaJF walioleta nyuzi zenye kujenga, kuburudisha na kuelimisha kwa mwaka 2022;
1. Pascal Mayalla
2. MamaSamia2025
3. Etwege
4. johnthebaptist
5. GENTAMYCINE
6. smarte_r
7. cocastic
8. Erythrocyte
9. DeepPond
10. Mmawia
Sasa hivi kazingua sanaHuyu anashika nafasi ya kwanza
Kafanyaje tena?Sasa hivi kazingua sana
Kautelekeza uzi wake,Kafanyaje tena?
huu uzi mzuri ulinipitaje december 2022 bila mimi kuuona?....sio bure,lazima kulikuwa na mkono wa mtu. nina wasiwasi popoma GENTAMYCINE alihusika(natania[emoji16]).Kwa maoni yangu wafuatao ni kumi bora ya wanaJF walioleta nyuzi zenye kujenga, kuburudisha na kuelimisha kwa mwaka 2022;
1. Pascal Mayalla
2. MamaSamia2025
3. Etwege
4. johnthebaptist
5. GENTAMYCINE
6. smarte_r
7. cocastic
8. Erythrocyte
9. DeepPond
10. Mmawia
Hata wewe mwenyewe bila kuwepo list ni batili.
Upoo haswaaaa. Acha wivuCocastic nae ana uzi bora humu ndani...???
KwahyKwa maoni yangu wafuatao ni kumi bora ya wanaJF walioleta nyuzi zenye kujenga, kuburudisha na kuelimisha kwa mwaka 2022;
1. Pascal Mayalla
2. MamaSamia2025
3. Etwege
4. johnthebaptist
5. GENTAMYCINE
6. smarte_r
7. cocastic
8. Erythrocyte
9. DeepPond
10. Mmawia
Rikiboy ni bora kwenye uzi wake mmoja wa mwaka 2014.
Sasa jumlisha wachangiaji na view za hao wote uliorodhesha hapo juu kwa pamoja hawawezi mfikia rikiboy kwenye Uzi wake mmoja tuRikiboy ni bora kwenye uzi wake mmoja wa mwaka 2014.