Kumiliki gari ni matatizo matupu

Kumiliki gari ni matatizo matupu

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,593
Reaction score
8,595
Kama wengi mlivyo mezeshana na kukaririshana kuwa ukiwa na gari Basi mambo Safi.

Uzi huu utaenda na kinyume na hizo fikra.

1: Watu mmekaririshana kwamba ukiwa na gari Basi mambo yote yameisha Kama maisha ndio umesha yapatia. Lakini kiuhalisia hakuna kitu chenye stress Kama gari. Kama unasafari utapendelea kusafiri na usafiri wako binafsi ila kiukweli ni matatizo tu kwanza gharama za mafuta pili ukikutwa na break down ni matatizo tu ni tofauti na ukija kuchukua usafiri wa umma ukikata tiketi ya high class mambo yanakua poa Sana.

Pia ukija kuangalia kwa mizunguko ya mijini kwa usafiri wako binafsi sioni Kama unaenjoy maana muda wote utakua unawaza wazee wa wrong parking , utakuta unataka uende office fulani Ila ukikumbuka pale hamna parking unalazimika kuacha gari sehemu nyingine ili uende sehem nyingine na ukilicha muda wote unahofu ya kuibiwa , pia ukiwa na gari unakuwa umesha jiwekea mipaka yaani upo ndani ya zizi hapa hata kutanua wigo wa marafiki inakua ngumu zaidi utaishia kuwa na watu wale wale wa miaka yote.

Japo kuwa Sina uzoefu na wale wenye maisha high class ambao kutumia milioni kwa siku ni Jambo la kawaida kwao Ila Kama wewe niwalee ambao mikokoteni yetu haizidi milioni 20 hapa tulia tu hakuna Bata tunalo kula na haya magari zaidi ya stress na upweke tu.

2: Wanadai ukiwa na gari Basi utachakata mbususu Tani yako hii pointi ni uongo mkubwa na ulio tukuka....ukiwa na gari tayari unakua upo kwenye kwenye zizi hapa hao mademu utakutana nao wapi Kama kwenye usafiri wa Uma haupo yaani wewe kila sehemu unayoenda tayari umesha jipiga Pini na kuhusu kuzoa watu njiani ndio hofu kubwa Sana cos muda wote unakuwa na hofu ya kutekwa tekwa na kuibiwa. Sasa hao mademu utawapata vipi.....? Labda kurudi na mabaamedi nyumbani baada ya tungi.

Kifupi ukiwa na gari moja kwa moja unakua umejitenga na jamii na ukisha jitenga hata mademu utakua mbali nao labda uanze kuwazungukia wale wanao kufahamu way back ila kupata wapya utakua kwenye wakati mgumu Sana cos kwa uzoefu wangu mademu wengi wanapatikana asubuhi wanavyo enda makazini na kurudi majumbani na wengi wanatumia usafili wa Uma...Sasa wewe utawaokota wepi hapa zaidi ya kuwinda mabekitatu na wadangaji [emoji16][emoji16][emoji16] so ukiwa na gari kula Mbususu zinazo jitambua sahau mzee.

Kwa hizo hoja mbili naamini usafiri binafsi ni matatizo tu ...sijui kwa nyie wenzangu labda mnamawazo mengine.

NB
Mtakao kuja na hoja ya tafuta pesa mje mniaambie nitafute kiasi gani.
 
Gari ni sawa na mke linahitaji matunzo. Kwaio kama unaona haupo teari financially usinunue unless ni la biashara.

Kulingana na finances zako ila ni vyema mtu ukawa na asset kwanza kama nyumba, biashara, kazi ya kueleweka kwanza ndio uje kununua gari.

Ukianza kununua gari na maisha bado una unga uga aisee hautopiga maendeleo , na ubaya impression ya wa Tanzania wengi ni kwamba ukiwa na gari inamaana una hela kwaio yani maisha lazima yakunyooshe, ukipata kimwanamke chako kinataka pesa maana anaamini kama una gari basi ukigoma kumpa hela inamaana unahonga kwengine, safari na washkaji zitaongezeka especially za bata, marafiki kugongea gari lako na wakirudi kuna kitu kaharibu ni shidaa
Jijenge kwanza ndio ununue gari
 
Tupo pamoja
 
Nahisi mkuu umekuja kugundua kwa njia ngumu sana kuwa mipango si matumizi.

Itakuwa ulichukua kimkopo chako kuvuta ndinga ukiwa na imani utawatafuna balaa, kuja kutahamaki upo mwenyewe kila safari.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hapana mzee mm kwenye kuwatafuna ni long time bila hata kuwa na maisha yangu....Kama umewahi pitia nyuzi zangu utakua umenielewa .

Ila unacho zungumza ni Kama una uzoefu nacho
 
Sisi wenye terrios kids hatuna hizo stress mnazozipata nyinyi wenye ma landcruiser, parking hua hatupati shida kabisa ukiona kaupenyo kidogo unaichomeka tu, ukija kwenye mafuta ndio kabisaaa hatuna tofauti na wanaomiliki bodaboda, kakizingua njiani hata ukiwa peke yako una uwezo wa kukisukuma mwenyewe au kukatia kwenye mkokoteni ukaenda nacho nyumbani.
Spear zipo za kutosha na sio ghali kiviiiile haziumizi kichwa.
Labda hapo kwenye mademu wale wa kuokota hovyohovyo kwenye madaladala ndio inaweza kua ni changamoto.
 
🤣🤣🤣🤣
 
[emoji16][emoji16] inatakiwa Hadi unamiliki gari uwe na sababu za kutosha
 
Magar yanakera ma.maee
Eti gari la kukubeba wewe tu na kujisukuma lenyew mara linachemsha mara sjui linakuwa zito ma.maee

Unalitengeneza kwa gharama,hata mwez halimaliz linazingua tena mpaka mke anaanza kuuliza,vp baba hili gari si umetoa hela nying tu mwez uliopita na ukasema sahv limepona kulikon tena.

Familia unaibadilishia msosi wanaanza kula chakula cha kawaida,gari linaharibu bajet ya msosi mpaka watoto wanaanza kususa msosi

Ili majiran wasijue una miliki mkweche,likizingua unaamua kuwa unalivuta asubuh na mapema usiku usiku unalipeleka gereji

Hakika gari usinunue kama una hela za mawazo,ni hv kama kipato chako kipo chini ya mil 1 kwa mwez usinunue gari
 
Nunua gari lenye hali nzuri, utakaa 4...6yrs bila usumbufu wa kijinga, them uza nunua lingine maisha yanaenda.

Sasa tunaopiga mihuri kwenda kazini na kurudi mnatushauri vipi wakuu. Daladala zinachosha sana mjue.
 
Sisi wenye terrios kids hatuna hizo stress mnazozipata nyinyi wenye ma landcruiser, parking hua hatupati shida kabisa ukiona kaupenyo kidogo unaichomeka tu, ukija kwenye mafuta ndio kabisaaa hatuna tofauti na wanaomiliki bodaboda, kakizingua njiani hata ukiwa peke yako una uwezo wa kukisukuma mwenyewe au kukatia kwenye mkokoteni ukaenda nacho nyumbani.
Spear zipo za kutosha na sio ghali kiviiiile haziumizi kichwa.
Labda hapo kwenye mademu wale wa kuokota hovyohovyo kwenye madaladala ndio inaweza kua ni changamoto.
Ukitaka mademu..mbona simpo tu unapanda daladala hata siku tatu unakusanya namba kisha unaanza kuwazungukia na kigari chako.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom