Kumiliki gari ni matatizo matupu

Kumiliki gari ni matatizo matupu

Ulimwengu wa Sasa yaani bado mtu unawaza umiliki gari Ili upate wanawake anyway KILA mtu na choice.
Ukingia tu kwenye page zao huko kwenye mitandao ukijitangaza unatoa huduma bure utakimbia mwenyewe. Nadhani lengo kuu la kuleta utandawazi ikiwemo ni kuharibu maadili ya jamii pia.
Zamani tulikunywa soda enzi za sikuu siku hizi pesa yako soda zipo tele mda wowote mahali popote tu ukitaka.
 
Hadi sasa kwenye uzi wako sijaona matatizo ya kumiliki gari ila naona matatizo ya umaskin ndo maana unalalamikia hadi mafuta sasa gari unataka itembee bila mafuta au service?

Mimi sina gari japo naamini kulinunua ninaweza nikijichanga ila kulihudumia sitaweza ndo maana sihitaji kwa sasa, sisi maskini wengi tukipata hela kidogo huwa tunawaza tu kununua gari ila hatuwazi Kama tunaweza kulihudumia na hapo ndo tatizo lilipo Hadi tunaaminishana gari ni tatizo lakin si kweli.
 
Hadi sasa kwenye uzi wako sijaona matatizo ya kumiliki gari ila naona matatizo ya umaskin ndo maana unalalamikia hadi mafuta sasa gari unataka itembee bila mafuta au service?

Mimi sina gari japo naamini kulinunua ninaweza nikijichanga ila kulihudumia sitaweza ndo maana sihitaji kwa sasa, sisi maskini wengi tukipata hela kidogo huwa tunawaza tu kununua gari ila hatuwazi Kama tunaweza kulihudumia na hapo ndo tatizo lilipo Hadi tunaaminishana gari ni tatizo lakin si kweli.
Sahii kabisa, uyu kipato chake hakiruhusu asitafute excuse TU[emoji4]
 
Sahii kabisa, uyu kipato chake hakiruhusu asitafute excuse TU[emoji4]
Ukiwa na kipato kidogo gari inakufilisi kweli siyo masihara.
Mi naona kwa sisi wenye vipato vidogo ni Bora tusikimbilie magari, kuliko kukimbilia kumiliki vitu vitakavyokua vinahitaji tutoe hela kila siku na Mara nyingine unatoa hela nyingi kuliko unacho kiingiza, ni Bora tu hiyo pesa ukaamua kujenga hata room 1 uokoe gharama za Kodi au ufanye biashara uliyo ifanyia utafiti kuwa itakulipa.

Wanasema kujenga ni uoga wa maisha.. NDIO ukiwa na kipato kidogo unatakiwa kweli uyaogope maisha na uheshimu pesa, kwa dunia ya sasa gari siyo anasa usafiri ni hitaji la muhimu lakin angalia Kwanza upoje kiuchumi je utalimudu?
 
Kama wengi mlivyo mezeshana na kukaririshana kuwa ukiwa na gari Basi mambo Safi.

Uzi huu utaenda na kinyume na hizo fikra.

1: Watu mmekaririshana kwamba ukiwa na gari Basi mambo yote yameisha Kama maisha ndio umesha yapatia. Lakini kiuhalisia hakuna kitu chenye stress Kama gari. Kama unasafari utapendelea kusafiri na usafiri wako binafsi ila kiukweli ni matatizo tu kwanza gharama za mafuta pili ukikutwa na break down ni matatizo tu ni tofauti na ukija kuchukua usafiri wa umma ukikata tiketi ya high class mambo yanakua poa Sana.

Pia ukija kuangalia kwa mizunguko ya mijini kwa usafiri wako binafsi sioni Kama unaenjoy maana muda wote utakua unawaza wazee wa wrong parking , utakuta unataka uende office fulani Ila ukikumbuka pale hamna parking unalazimika kuacha gari sehemu nyingine ili uende sehem nyingine na ukilicha muda wote unahofu ya kuibiwa , pia ukiwa na gari unakuwa umesha jiwekea mipaka yaani upo ndani ya zizi hapa hata kutanua wigo wa marafiki inakua ngumu zaidi utaishia kuwa na watu wale wale wa miaka yote.

Japo kuwa Sina uzoefu na wale wenye maisha high class ambao kutumia milioni kwa siku ni Jambo la kawaida kwao Ila Kama wewe niwalee ambao mikokoteni yetu haizidi milioni 20 hapa tulia tu hakuna Bata tunalo kula na haya magari zaidi ya stress na upweke tu.

2: Wanadai ukiwa na gari Basi utachakata mbususu Tani yako hii pointi ni uongo mkubwa na ulio tukuka....ukiwa na gari tayari unakua upo kwenye kwenye zizi hapa hao mademu utakutana nao wapi Kama kwenye usafiri wa Uma haupo yaani wewe kila sehemu unayoenda tayari umesha jipiga Pini na kuhusu kuzoa watu njiani ndio hofu kubwa Sana cos muda wote unakuwa na hofu ya kutekwa tekwa na kuibiwa. Sasa hao mademu utawapata vipi.....? Labda kurudi na mabaamedi nyumbani baada ya tungi.

Kifupi ukiwa na gari moja kwa moja unakua umejitenga na jamii na ukisha jitenga hata mademu utakua mbali nao labda uanze kuwazungukia wale wanao kufahamu way back ila kupata wapya utakua kwenye wakati mgumu Sana cos kwa uzoefu wangu mademu wengi wanapatikana asubuhi wanavyo enda makazini na kurudi majumbani na wengi wanatumia usafili wa Uma...Sasa wewe utawaokota wepi hapa zaidi ya kuwinda mabekitatu na wadangaji [emoji16][emoji16][emoji16] so ukiwa na gari kula Mbususu zinazo jitambua sahau mzee.

Kwa hizo hoja mbili naamini usafiri binafsi ni matatizo tu ...sijui kwa nyie wenzangu labda mnamawazo mengine.

NB
Mtakao kuja na hoja ya tafuta pesa mje mniaambie nitafute kiasi gani.
True kabisa unless vijiwe vyako iwendako ni vya hadhi kiasi chake lakini otherwise ni kweli kabsa
 
Kama sio siku ya kazi si unatembea tu..ila kama ndio gari ya kwanza utataka uwe nayo muda wote hadi ukiwa unaenda kariakoo.
 
Ukinunua gari mbovu ndiyo utakutana na stress...

Ila hilo la kujitenga na jamii kuna asilimia za ukweli...
Cycle yako ya marafiki inakua ndogo sana...
 
Aisee wewe hutakiwi kumiliki chochote..

Kumiliki kazi ni stress.. Inabidi uamke mapema uwahi kazini..!
Kumiliki simu ni stress.. Inabidi umake sure ina charge na data ya kuja kupost JamiiForums..!
Kumiliki familia ni stress.. Inabidi uitunze..!
Kumiliki nyumba ni stress.. Inabidi ulipie kodi ya majengo..!
Kumiliki passport ni stress.. Inabidi kila baada ya muda fulani kuilipia upya..!

Hiyo ndio logic yako..!
 
Magar yanakera ma.maee
Eti gari la kukubeba wewe tu na kujisukuma lenyew mara linachemsha mara sjui linakuwa zito ma.maee

Unalitengeneza kwa gharama,hata mwez halimaliz linazingua tena mpaka mke anaanza kuuliza,vp baba hili gari si umetoa hela nying tu mwez uliopita na ukasema sahv limepona kulikon tena.

Familia unaibadilishia msosi wanaanza kula chakula cha kawaida,gari linaharibu bajet ya msosi mpaka watoto wanaanza kususa msosi

Ili majiran wasijue una miliki mkweche,likizingua unaamua kuwa unalivuta asubuh na mapema usiku usiku unalipeleka gereji

Hakika gari usinunue kama una hela za mawazo,ni hv kama kipato chako kipo chini ya mil 1 kwa mwez usinunue gari
Hata ukiwa na kipato Cha 2mil bado gari litakua changamoto
 
Back
Top Bottom