Kumiliki kampuni

Bin Chuma75

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
995
Reaction score
1,067
Wadau habarini,

Wajuzi wa maswala ya kampuni naomba kujua kuhusu mtaji wa kampuni kimaandishi, ni faida gani na hasara gani ya kuweka mtaji mkubwa? Na hasara na faida ya kuweka mtaji mdogo? Na vipi mambo ya kikodi?
 
maelezo naweza kukupa ila kama ni mwepesi wa mambo madhani ukigoogle unapata Vizuri kabisa .

inshort Mtaji una Impact kwenye Kodi .

mtaji mkubwa hupelekea pia Calculation za kodi kua kubwa and " otherwise ".

Better ukaGoogle usome kwa kujinafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…