Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 995
- 1,067
Wadau habarini,
Wajuzi wa maswala ya kampuni naomba kujua kuhusu mtaji wa kampuni kimaandishi, ni faida gani na hasara gani ya kuweka mtaji mkubwa? Na hasara na faida ya kuweka mtaji mdogo? Na vipi mambo ya kikodi?