Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Kuna demu jana kanipigia na namba mpya sijapokea siku nzima kwasababu ya vipengele vyangu.. na hapo nilishasevu namba zake nyingine 3 tofauti...Watu wa namna hii wanaudhi sana kama sio kusikitisha. Unakutana na mtu ana namba ya kila mtandao. Day one kakupa let say namba yake ya Voda, wakati anarudisha message unashangaa namba nyingine (Yas), unavumilia, unasave
Kesho yake unashangaa kuona namba ngeni inaingia kwa simu (Airtel), kwa sisi wenye vipengele hapa mjini huwa hatupokei namba ngeni kirahisi rahisi. Baada ya 40 missed calls unaamua kumpokelea, kumbe ni Athumani Majaba, halafu analaumu eti hupokei simu
Kwenye miamala anakutumia namba let say ya Halotel "Utaskia Tuma Humu", majibu ya kuonesha kuwa muamala umefika yanakuja kwa laini ya TTCL
Huo ni uzamwamwa! Nowdays serikali imethibiti utofauti wa huduma za mawasiliano ya mitandao ya simu. Kwa kifupi hakuna mtandao bora kumzidi mwingine, zote ni sawa, MB 245 za Yas ni kwa Tsh. 500 vivyo hivyo kwa mitandao mingine yote, au dizaini hii ya watu ndo wale wanaodanganyika kwa spika za dj maki za "Jipatie laini ya chuo" kwa chuo gani ulichosomea? Shwain
Hakuna kitu kinachonikera na kuchafua simu yangu kama kusave majina Juma Voda, Juma 2, Juma 3, J4 nikiwa na maana ya mtu mmoja
Hata mimi acha niwe, mshamba, ninazo line tatu, na zote ziko hewani.Ninazo 5😂
Hujafika Idindilumunyo, Idumulavanu, huko ukaelewa maisha yalivyoWatu wa namna hii wanaudhi sana kama sio kusikitisha. Unakutana na mtu ana namba ya kila mtandao. Day one kakupa let say namba yake ya Voda, wakati anarudisha message unashangaa namba nyingine (Yas), unavumilia, unasave
Kesho yake unashangaa kuona namba ngeni inaingia kwa simu (Airtel), kwa sisi wenye vipengele hapa mjini huwa hatupokei namba ngeni kirahisi rahisi. Baada ya 40 missed calls unaamua kumpokelea, kumbe ni Athumani Majaba, halafu analaumu eti hupokei simu
Kwenye miamala anakutumia namba let say ya Halotel "Utaskia Tuma Humu", majibu ya kuonesha kuwa muamala umefika yanakuja kwa laini ya TTCL
Huo ni uzamwamwa! Nowdays serikali imethibiti utofauti wa huduma za mawasiliano ya mitandao ya simu. Kwa kifupi hakuna mtandao bora kumzidi mwingine, zote ni sawa, MB 245 za Yas ni kwa Tsh. 500 vivyo hivyo kwa mitandao mingine yote, au dizaini hii ya watu ndo wale wanaodanganyika kwa spika za dj maki za "Jipatie laini ya chuo" kwa chuo gani ulichosomea? Shwain
Hakuna kitu kinachonikera na kuchafua simu yangu kama kusave majina Juma Voda, Juma 2, Juma 3, J4 nikiwa na maana ya mtu mmoja
Hawana huduma ya kutuma pesa kwenda mtandao wowote mwezi wa tatu huu.TTCL WAKO VIZURI
Mtandao umetingwa... Mtoa mada itakuwa hajui huu usumbufuHalotel imegoma mtandao Leo,nipo na tigo mkuu
Acha ushamba wewe. Save jina moja then add namba zake zote mbona simple tu.Hakuna kitu kinachonikera na kuchafua simu yangu kama kusave majina Juma Voda, Juma 2, Juma 3, J4 nikiwa na maana ya mtu mmoja
Inashangaza sanaMtandao umetingwa... Mtoa mada itakuwa hajui huu usumbufu
Mimi Nina lakini 5, mbili ni Kwa ajili ya mawasiliano, hizi nyengine ni Kwa ajili ya ishu za kifedhaInashangaza sana