Watu wakikueleza walivofanikiwa inashangaza sana! Tubaki tu kwenye kipato cha buku kadhaaSiku moja nilikaa na kibarua mmoja hivi alikuwa anasimamia ujenzi wa nyumba hapa jirani na kwangu. Yule jamaa akawa mshikaji sana, siku moja nikapata muda wa kupiga naye stori. Akaniambia amekuwa kibarua wa matajiri wengi sana hapa mkoa. Stori zikanoga acha aanze kufunguka siri za hao matajiri. Nikakuta wengi wao ni utajiri wa kishirikina. Alinipa historia ya utajiri wao mbaka nikabaki kushangaa tu. Mara huyu mganga wake yupo sehemu fulani, yule ameua ndugu yake mwaka fulani, huyu ametia uchizi watoto wake kina fulani. Yaani zile za ndani sana mpaka majina.
Nikaona sihitaji kuona tamaa, nikawe na maisha yangu ya kawaida tu, mke mzuri, magari mazuri, nyumba nzuri, mshahara wa uhakika, nikisubiri pensheni. Sitaki shida
Uchawi ni pale Unapokutana na mkono wa TRA, halmshauri, service levy🙌kodi ya jengo, fire extinguisherWhat you see is the limitation of your VIEW.
fundi anafahamu siri za utajiri za matajiri ila ajatoboa mpaka leo, atakwambia hana tamaa ni uwongo hafahamu chochote kileSiku moja nilikaa na kibarua mmoja hivi alikuwa anasimamia ujenzi wa nyumba hapa jirani na kwangu. Yule jamaa akawa mshikaji sana, siku moja nikapata muda wa kupiga naye stori. Akaniambia amekuwa kibarua wa matajiri wengi sana hapa mkoa. Stori zikanoga acha aanze kufunguka siri za hao matajiri. Nikakuta wengi wao ni utajiri wa kishirikina. Alinipa historia ya utajiri wao mbaka nikabaki kushangaa tu. Mara huyu mganga wake yupo sehemu fulani, yule ameua ndugu yake mwaka fulani, huyu ametia uchizi watoto wake kina fulani. Yaani zile za ndani sana mpaka majina.
Nikaona sihitaji kuona tamaa, nikawe na maisha yangu ya kawaida tu, mke mzuri, magari mazuri, nyumba nzuri, mshahara wa uhakika, nikisubiri pensheni. Sitaki shida
But unaweza kupambana na ukamiliki hata kwa kuuza keki tuUnajikuta una fantasy za kumiliki mjengo, mikubwa, apartment kubwa kubwa, gari za bei mbaya watoto wasome shule zenye status!, uwe na pesa za kuspend 5million per day
Lakini ukweli mchungu huwezi kumiliki hivo vitu kama haupo sehemu moja wapo kati ya hizi
1.Siasa ya unafiki unafiki
2. Huna kipaji
3.biashara haramu,
4.uchawi
Bila hivi sahau range rover, sahau V8🥶
👉Muhimu usijeona maisha ya wengine ukadhani wewe umetengwa na dunia.
👉Hesabu Yale mazuri Mungu aliyokupa, usihesabu mapungufu ama Kasoro ulizonazo
Jikubali
Pesa ya ku spend 5 million per day unazifanyia nini? Una uraibu wa kucheza kamali?Unajikuta una fantasy za kumiliki mjengo, mikubwa, apartment kubwa kubwa, gari za bei mbaya watoto wasome shule zenye status!, uwe na pesa za kuspend 5million per day
Lakini ukweli mchungu huwezi kumiliki hivo vitu kama haupo sehemu moja wapo kati ya hizi
1.Siasa ya unafiki unafiki
2. Huna kipaji
3.biashara haramu,
4.uchawi
Bila hivi sahau range rover, sahau V8🥶
👉Muhimu usijeona maisha ya wengine ukadhani wewe umetengwa na dunia.
?
👉Hesabu Yale mazuri Mungu aliyokupa, usihesabu mapungufu ama Kasoro ulizonazo
Jikubali
Huamini katika uchawi mkuuUchawi toa hiyo ni sababu ya watu wajinga jinga
Kwa mfano shamba imekaa miaka 10 baadaye likawa 500 hundred worth hapo Sawa hii inaeleweka kabsaKote huko sipo, ila najua kwenye hii nchi kuna siku nitaulizwa nitolee maelezo ya pesa nilizonazo kwenye bank account.
Sio Sasa hivi ila miaka kadhaa ijayo.
Ndo huwa story zao, fundi wetu pia amesha nipa hadithi ya story hizo.Siku moja nilikaa na kibarua mmoja hivi alikuwa anasimamia ujenzi wa nyumba hapa jirani na kwangu. Yule jamaa akawa mshikaji sana, siku moja nikapata muda wa kupiga naye stori. Akaniambia amekuwa kibarua wa matajiri wengi sana hapa mkoa. Stori zikanoga acha aanze kufunguka siri za hao matajiri. Nikakuta wengi wao ni utajiri wa kishirikina. Alinipa historia ya utajiri wao mbaka nikabaki kushangaa tu. Mara huyu mganga wake yupo sehemu fulani, yule ameua ndugu yake mwaka fulani, huyu ametia uchizi watoto wake kina fulani. Yaani zile za ndani sana mpaka majina.
Nikaona sihitaji kuona tamaa, nikawe na maisha yangu ya kawaida tu, mke mzuri, magari mazuri, nyumba nzuri, mshahara wa uhakika, nikisubiri pensheni. Sitaki shida