Kumiliki maisha ya hadhi ya juu Tanzania ni ngumu bila kuwa sekta moja wapo kati ya hizi

Kumiliki maisha ya hadhi ya juu Tanzania ni ngumu bila kuwa sekta moja wapo kati ya hizi

Hapa Tanzania wapo watu wanafanya birthday za milion 200. Sembuse kutumia 5M per day just imagine kwenda samaki samaki pale Milion moja unaweza ukaikata mwenyewe sembuse M tano mkuu
Pesa ya ju spend 5 milli9n per day unazifanyia nini? Una uraibu wa kucheza kamali?

Kwa mtu wa kawaida anayeishi mIji ya gharama kabisa duniani kama Hong Kong, China, Singapore, Geneva Switzerland, Tokyo Japan, New Yoek City, USA, London UK, Los Angeles, USA, kote huko bado hakujafikia maisha ya gharama hiyo.

Sasa shilingi milioni 5 kwa siku Tanzania unaendesha familia au timu ya soka?
Ua
 
Hapa Tanzania wapo watu wanafanya birthday za milion 200. Sembuse kutumia 5M per day just imagine kwenda samaki samaki pale Milion moja unaweza ukaikata mwenyewe sembuse M tano mkuu
Ua
Yeah,

Lakini utafanya birthday ya milioni 200 mara ngapi kwa mwaka? Halafu, huko ni kujifaragua maalum, ukitaka kutumia hela nyingi kwa mpigo unaweza hata kutumia US dola bilioni 1 kwa siku, kwa kuzigawa tu.

Lakini je, hayo ni matumizi ya kawaida ambayo kila mtu anatakiwa kuyaota?

Let's be real and stop these outlandish fantasies.
 
Kuna hotels mkuu hapa bongo kulala siku 1 inacost 1000+$
Msosi unacost 250+ $ ukiwa na family labda wife,mtoto 1 plus wewe .

Total inakuwa 2000+$ apo milion tano kwisha habari yake
Pesa ya ju spend 5 milli9n per day unazifanyia nini? Una uraibu wa kucheza kamali?

Kwa mtu wa kawaida anayeishi mIji ya gharama kabisa duniani kama Hong Kong, China, Singapore, Geneva Switzerland, Tokyo Japan, New Yoek City, USA, London UK, Los Angeles, USA, kote huko bado hakujafikia maisha ya gharama hiyo.

Sasa shilingi milioni 5 kwa siku Tanzania unaendesha familia au timu ya soka?
 
Mkuu ni ngumu sana kuficha kama mali zako ni za kishirikina. Imagine umetia uchizi watoto, utawaficha? Au utajiri wa kidonda utaficha?
Ni kweli, kwenye site ya jobless pro max. Kuna mzee same business.

nilivyo hamia Kuna dogo ali kuwa ana kuja kuomba 100, 200, nikawa nampa.

Baadae Nika ulizwa , mzee wake una mjua??, una dhani hana hizo 200??.
Kuja kumuona, nili pigwa na butwaa.
Yuko miles ahead ya team jobless pro max.
 
Unajikuta una fantasy za kumiliki mjengo, mikubwa, apartment kubwa kubwa, gari za bei mbaya watoto wasome shule zenye status!, uwe na pesa za kuspend 5million per day

Lakini ukweli mchungu huwezi kumiliki hivo vitu kama haupo sehemu moja wapo kati ya hizi

1.Siasa ya unafiki unafiki
2. Huna kipaji
3.biashara haramu,
4.uchawi

Bila hivi sahau range rover, sahau V8🥶

👉Muhimu usijeona maisha ya wengine ukadhani wewe umetengwa na dunia.

👉Hesabu Yale mazuri Mungu aliyokupa, usihesabu mapungufu ama Kasoro ulizonazo

Jikubali
Wachungaji matapeli umewasahau
 
Kuna hotels mkuu hapa bongo kulala siku 1 inacost 1000+$
Msosi unacost 250+ $ ukiwa na family labda wife,mtoto 1 plus wewe .

Total inakuwa 2000+$ apo milion tano kwisha habari yake
Kama shida yako ni kutumia pesa kwa fujo tu hizo hoteli zote mshenzi.

Tanzania kuna retreat Thanda Island gharama yake ni $10,000 kwa siku.

So what is your point?

Kama shida yako ni kutumia pesa kwa fujo tu hizo hoteli zote mshenzi.

Tanzania retreat Thanda Island gharama yake ni $10,000 kwa siku.

So what is your point?

Kuna mtu kasema huwezi spend 2000$ per day
 
Mwanangu kwenye uwanja wa vita kuna mambo ambayo hayasemwi mkuu Ebu niambiye wewe ni mtu wa kawaida how can you 100 hundred milion kwa kuuza viazi mviringo tu?
Kila kitu ni mchakato mkuu, ushindani upo Kila pahala na kwenye ushindani huu wa kwenye biashara wote tunapambania kitu kimoja kwa maana ya fedha, na kwenye mapambano Kila mtu anapambana kwa kutumia silaha yake anayoijua yeye.

Na kwenye vita hivi ni wewe mwenyewe kuamua tu, ya kwamba uingie front upigane live live bila chenga, au ujifiche sehemu uwe unapigana kwa kuvizia au ukae tu ubaki kuwa mpenzi mtazaji kwa wale wapambanaji.

Kwahiyo uwezo wa kupata hiyo million mia kwenye viazi upo kwa maana kwanza viazi ni kitu kinachoigusa jamii yote kwahiyo kinacho huo ukubwa na si kitu ambacho kinahitaji nguvu kubwa kwenye kufanya scaling.

But haiwezi kuwa rahisi kama nnavyoandika hapa coz vita zipo kwa maana ndani yake unakutana na watu ambao wanafanya hiyo biz na wengi hawapendi kuingiliwa kwenye biashara kwahiyo watafanya juu chini kukuzuia (ukiritimba) but ukishajua uko na maadui lazima utajua namna ya kujilinda na kuchanga karata zako vizuri ili uweze kuwabonda😅.

All in all haupaswi kuwa serious sana na hivi vitu ila fanya kama unacheza game then enjoy the process.
 
Yeah,

Lakini utafanya birthday ya milioni 200 mara ngapi kwa mwaka? Halafu, huko ni kujifaragua maalum, ukitaka kutumia hela nyingi kwa mpigo unaweza hata kutumia US dola bilioni 1 kwa siku, kwa kuzigawa tu.

Lakini je, hayo ni matumizi ya kawaida ambayo kila mtu anatakiwa kuyaota?

Let's be real and stop these outlandish fantasies.
Ana sema asilo lijua, pengine story za vijiweni.
 
Mwanangu kwenye uwanja wa vita kuna mambo ambayo hayasemwi mkuu Ebu niambiye wewe ni mtu wa kawaida how can you 100 hundred milion kwa kuuza viazi mviringo tu?
Watu Wana zalisha unga wa sembe(ugali) na Wana pata, usi ulize kwenye mchele ndo kabisa.

Ila kila kitu ni hatua mzee, hakuna aliye Anza top ghafla.
 
Back
Top Bottom