GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama Tido Mhando aliyekuwa Mweledi kabisa akitokea BBC alishindwa Kuibadilisha TBC hadi kuondoka / kuondolewa leo hii unataka kabisa Dkt. Rioba ambae nae hatofautiani sana Kiuweledi na Mzee Tido Dustan Mhando aibadili TBC iwe utakavyo Wewe wakati unajua fika kuwa TBC na CCM ni sawa sawa na Simba SC na Migogoro ya kila Kukicha?
Mambo mengine huwa yanahitaji Upeo mkubwa sana kuyajua na kuyaelewa kabla ya Kuanza Kukurupuka kuyaulizia.
Mambo mengine huwa yanahitaji Upeo mkubwa sana kuyajua na kuyaelewa kabla ya Kuanza Kukurupuka kuyaulizia.