Tope la Hanang
New Member
- Nov 4, 2025
- 1
- 1
Habarini wana jukwaa.
Kwanza nitoe pole kwa wote walioathirika kwa namna yeyote ile na vurugu zilizotokea za uchaguzi.Wote tumeguswa kwa namna moja ama nyingine na ninachoweza kusema ni tuwaombee walipopoteza maisha na Mungu awapunguzie adhabu ya Kaburi.
Nimekuwa nikifuatilia mitandao ya kijamii nimeona watu wengi wanamlaumu kwa yaliyotokea ila mimi naomba nitofautiane nao kidogo.Binafsi naona watu pekee wa kuwalaumu ni Jeshi la wananchi maana ndiyo watu pekee waliokuwa na uwezo wa kuzuia kilichotokea.
Malalamiko yamekuwa mengi kuwa polisi walipiga risasi hovyo ila hiyo inatokana na maelkezo waliyopewa na kamanda wao. Bila shaka waliruhusiwa kuua yeyote watakaokutana naye barabarani ila polisi kwa kuogapa mahakama ya wananchi waliamua kupiga risasi hata wale wasiokuwa jwenye maandamano kwa kuogopa kurekodiwa dhambi walizokuwa wanafanya. Sikushangaa niliposikia kuwa wanaua yeyete na hata wakikukuta nje au dukani ujinga wao ni uleule uoga kwa kutambulika. ilipozuka habari kuwa wapo waliovaa nguo za kiraia wanatembea mtaani wanaua tu bila kuuliza ile yote ni hofu ya kutambuliwa kuwa lengo la awali ni kutuliza ghasia ila kutokana na hofu ya maovu waliyofanya wanahisi wanatambulika.
ila kwa utandawazi uliokuwepo hawawezi na hakuna anayeweza kuficha chochot kilichotokea na walichokifanya ndiyo maana kwa sasa wanafahamika kwa sura na kama kungekuwa na taasisi huru inayofatilia ufanyaji kazi wa polisi kama walivyokuwa nayo Kenya ilikuwa rahisi kuwapata. ila tusikate tamaa ipo siku wote watakuja kujibu mastaka yao.
Ok twende sasa kwa mfalme Juha mwenyewe, Hivi kuna mtu yeyote huwa anamuelewa?Kuna yeyote makini anayeweza kumsikiliza na kusema hapa Sauti ya mamlaka imeongea?Hivi ukiwa kama raisi unaweza kuwaambia mawaziri wako kuwa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake eti anasikitika mawaziri wanakula hadi wanavimbiwa? Hivi mmemsikiliza alichosema kuwa walioleta vurugu ni watu wa nchi jirani? Kuna mtu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kumuamini?Mimi binafsi sijawahi kuweza kumsikilza hata kwa dakika tano na niliacha kumsikiliza bada ya kuona interview yake na ikeke akielezea kesi ya ugaidi ya Mbowe. Alichokuwa anaeleza hata mtu wa form two pale Tabora boys hawezi muelewa.
Hajawahi hata siku moja (nipo tayari kukosolewa kwenye hili) kutoa hotuba kama rais na akaeleweka. hata kampeni zake ukisilikliza ahadi alizokuwa anatoa unagundua hakuna lenye maana linaloweza kufanyika. Pia ukiangalia na shule yake ndiyo kabisa unajua hakuna sababu za kumlaumu. uelewa wake wa mambo una mashaka sana.
Kwa nchi zinazojielewa hakupaswa kugombea hiki kipindi cha pili sio kwa sababu katika haimruhusu ila kwa sababu ilipaswa kujirkebisha tulipokosea ila unakuja kugundua yupo kwa vile wahuni waliobanwa kipindi cha miaka sita ya utawala wa Magufuli wanataka kurudisha fedha walizopoteza. Na hapo ndipo unaelewa kuwa wahuni sio watu na wamedhamiria kuifilisi nchi.
Aisee nisiwachowachoshe ila naomba niseme kuwa kutokana na makosa aliyofanya amesababisha watanzania kuungana na kumjua adui yao mkubwa ni nani. sasa hivi hawahitaji mwanasiasa kuwaambia wafanye nini ila dhima zinawaelekeza cha kufanya.
NGOJA IENDELEE KUNYESHA TUONE PANAPOVUJA.