Tambukareli
Member
- May 8, 2020
- 35
- 64
Unacho kisema ni sahihi kabisa mkuu na wengi wanaomfanyia ulinganisho huo ni wana ccm wenzetu sijui lengo lao ni nini?Mkuu mawazo yako ,ni Kama niliyochangia kwenye uzi flani jana, na nilipendekeza watu aina hii washughulikiwe maana wanaalibu psychology ya viongozi walio madarakani, kila uongozi na Zama zake ,na si KWA bahati mbaya kufanyafa Hili ila ni genge la watu flani KWA lengo lao walijuwalo
Ungeanza kuwaambia TBC maana kwq yale mapambio ya kila siku kuhusu Magufuli sidhani kama mama ataweza kujiamini.Kumeibuka na tabia fulani ya kumshindanisha Mheshimiwa Samia na buriani Magufuli kwenye kila jambo na hatua anazochukua.
Unahisi watakuwa na lengo ganiš¤£Mkuu mawazo yako ,ni Kama niliyochangia kwenye uzi flani jana, na nilipendekeza watu aina hii washughulikiwe maana wanaalibu psychology ya viongozi walio madarakani, kila uongozi na Zama zake ,na si KWA bahati mbaya kufanyafa Hili ila ni genge la watu flani KWA lengo lao walijuwalo
Lengo ni kumtoa kwenye ubunifu wake Kama Rais,pili kumfanya asiwe na fikra pana, kwamba utendaji wake marehem ulikua bora na mh rais aone kwamba hakuna sababu ya kuwabadilisha watendaji katika nafasi zao, Hivyo wataendeleza zile sifa za kuabudu Kama kipindi Cha marehem wamjaze upepo wa kinafiki huku wanakwiba PESA, wahuni Sana.Unahisi watakuwa na lengo ganiš¤£
Ujumbe uwafikie na wachukue hatua.Ungeanza kuwaambia TBC maana kwq yale mapambio ya kila siku kuhusu Magufuli sidhani kama mama ataweza kujiamini
Aisee. Lakini mchakato si ulishaanza wa kuanzisha somo la historia kwa ajili ya kumuenzi? Au mchakato utasimama kwa kuwa ameondoka kabla ya kukamilika?Mwendazake Kisha enda, huyu jamaa alijua atakufa soon ndio maana akawa analazimisha aingizwe kwenye vitabu vya kiada vya historia