Kumlinganisha Rais Samia Suluhu na Hayati Rais Magufuli ni tabia ya hovyo na haikubaliki

Kumeibuka na tabia fulani ya kumshindanisha Mheshimiwa Samia na buriani Magufuli kwenye kila jambo na hatua anazochukua.

Mfano, kwenye hafla ya kupokea ripoti ya CAG mheshimiwa aliagiza kusimamishwa kwa Mkurugenzi wa Bandari, baada ya hatua hiyo kuliibuka na wachambuzi uchwara wakaanza kulinganisha hatua hiyo na hatua ambazo buriani angeweza kuchukua. Mara angekuwa Magufuli angevunja mpaka bodi ya bandari mara sijui angefanyaje, kwa kifupi ni maneno mengi sana yalisemwa siku hiyo.

Kadhalika kumeibuka tabia ya watu kumlazimisha mheshimiwa kuvaa viatu vya buriani kwa maana ya kufanya mambo yale yale aliyoyafanya Magufuli wakati wa uhai wake. Hii ni tabia ya hovyo ambayo si tu inafaa kukemewa bali kupingwa na kila mtu mwenye akili timamu sababu tabia hii inalenga kuingilia majukumu ya kiti cha Urais hivyo kumfanya Mheshimiwa Samia kutekeleza majukumu yake katika wakati mgumu.

Ni kweli, kwamba kuna mengi mazuri yalifanywa na buriani Magufuli na baadaye Mungu ikampendeza akamchukua. Mazuri yake tutayachukua na kuyaenzi lakini kisiwe kigezo cha kumlinganisha na mama Samia kwa sababu Urais sio mashindano bali ni njia tu ya kuwatumikia watanzania kwa lengo la kuwaletea maendeleo.

Kwa hivyo wana CCM wenzangu wakiwemo wabunge, viongozi na watanzania wote kwa ujumla tuache tabia ya kumlinganisha Magufuli na Mh. Samia bali tumwache Rais afanye kazi yake kwa uhuru na sisi kama wanachi tumpe ushirikiano wa kutosha ili atuvushe tutoke hapa tulipo twende mbele zaidi.
Umenena vyema[emoji106][emoji106]
 
Asante!
 
Hata Kiba analinganishwa Na Mondi.

Kawaida.
 
Ujumbe umefika 100%
 
Kuna wengine wakadai bashiru anavaa viatu vya Magu na Nyerere, hivi mbona watu wanamlinganisha Nyerere na vitu vya ajabu ajabu. Nyerere ni akili kubwa na hajawahi kuwa na comparison na hawa vingozi wapiga dili wa hapa nchini. Level zake ni watu kama Mandela na kina Nkwame Nkurumah siyo hawa wasaka tonge....
 
Huenda ni Conflict kati ya CCM Mpya na ya Zamani! CCM Mpya huenda ina wasiwasi ya ku loose battle kwa CCM ya Zamani.
 
In one week unalinganisha uongozi mmh?, NO!.
 
Huenda ni Conflict kati ya CCM Mpya na ya Zamani! CCM Mpya huenda ina wasiwasi ya ku loose battle kwa CCM ya Zamani.
Wanufaika na chawa kama kina veronica france aka musiba mulaga Majura kwao pengo halitozibika waliishi kwa kulamba unyayo na kuisujudia Sanamu.
 
Mama hawezi lewa madaraka.
Tubadili katiba atawale milele.
 
Mkuu mawazo yako ni Kama niliyochangia kwenye uzi flani jana, na nilipendekeza watu aina hii washughulikiwe maana wanaalibu psychology ya viongozi walio madarakani, kila uongozi na Zama zake, na si KWA bahati mbaya kufanyafa Hili ila ni genge la watu flani KWA lengo lao walijuwalo.
huyo kiongozi nae atakuwa na matatizo yake tu,yani watu wakimlinganisha na wengine ndiyo psychology yake iharibike??? re-think

lakini si ndo uhuru wa maoni tunaoulilia kila siku? yasipokufurahisha unataka watu washugulikiwe???
 
Kumeibuka na tabia fulani ya kumshindanisha Mheshimiwa Samia na hayati Magufuli kwenye kila jambo na hatua anazochukua.

Mfano, kwenye hafla ya kupokea ripoti ya CAG mheshimiwa aliagiza kusimamishwa kwa Mkurugenzi wa Bandari, baada ya hatua hiyo kuliibuka na wachambuzi uchwara wakaanza kulinganisha hatua hiyo na hatua ambazo buriani angeweza kuchukua. Mara angekuwa Magufuli angevunja mpaka bodi ya bandari mara sijui angefanyaje, kwa kifupi ni maneno mengi sana yalisemwa siku hiyo.

Kadhalika kumeibuka tabia ya watu kumlazimisha mheshimiwa kuvaa viatu vya hayati jpm kwa maana ya kufanya mambo yale yale aliyoyafanya Magufuli wakati wa uhai wake. Hii ni tabia ya hovyo ambayo si tu inafaa kukemewa bali kupingwa na kila mtu mwenye akili timamu sababu tabia hii inalenga kuingilia majukumu ya kiti cha Urais hivyo kumfanya Mheshimiwa Samia kutekeleza majukumu yake katika wakati mgumu.

Ni kweli, kwamba kuna mengi mazuri yalifanywa na buriani Magufuli na baadaye Mungu ikampendeza akamchukua. Mazuri yake tutayachukua na kuyaenzi lakini kisiwe kigezo cha kumlinganisha na mama Samia kwa sababu Urais sio mashindano bali ni njia tu ya kuwatumikia watanzania kwa lengo la kuwaletea maendeleo.

Kwa hivyo wana CCM wenzangu wakiwemo wabunge, viongozi na watanzania wote kwa ujumla tuache tabia ya kumlinganisha Magufuli na Mh. Samia bali tumwache Rais afanye kazi yake kwa uhuru na sisi kama wanachi tumpe ushirikiano wa kutosha ili atuvushe tutoke hapa tulipo twende mbele zaidi.
Awavushe kutoka wapi mlipokwamishwa na nani ?
 
Wachambuzi njaa ni wengi sana ndani ya Taifa la wadanganyika
 
Back
Top Bottom