Kumlinganisha Rais Samia Suluhu na Hayati Rais Magufuli ni tabia ya hovyo na haikubaliki

Umenena vyema[emoji106][emoji106]
 
Asante!
 
Hata Kiba analinganishwa Na Mondi.

Kawaida.
 
Ujumbe umefika 100%
 
Kuna wengine wakadai bashiru anavaa viatu vya Magu na Nyerere, hivi mbona watu wanamlinganisha Nyerere na vitu vya ajabu ajabu. Nyerere ni akili kubwa na hajawahi kuwa na comparison na hawa vingozi wapiga dili wa hapa nchini. Level zake ni watu kama Mandela na kina Nkwame Nkurumah siyo hawa wasaka tonge....
 
Huenda ni Conflict kati ya CCM Mpya na ya Zamani! CCM Mpya huenda ina wasiwasi ya ku loose battle kwa CCM ya Zamani.
 
In one week unalinganisha uongozi mmh?, NO!.
 
Huenda ni Conflict kati ya CCM Mpya na ya Zamani! CCM Mpya huenda ina wasiwasi ya ku loose battle kwa CCM ya Zamani.
Wanufaika na chawa kama kina veronica france aka musiba mulaga Majura kwao pengo halitozibika waliishi kwa kulamba unyayo na kuisujudia Sanamu.
 
Mama hawezi lewa madaraka.
Tubadili katiba atawale milele.
 
huyo kiongozi nae atakuwa na matatizo yake tu,yani watu wakimlinganisha na wengine ndiyo psychology yake iharibike??? re-think

lakini si ndo uhuru wa maoni tunaoulilia kila siku? yasipokufurahisha unataka watu washugulikiwe???
 
Awavushe kutoka wapi mlipokwamishwa na nani ?
 
Wachambuzi njaa ni wengi sana ndani ya Taifa la wadanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…