Kumng'oa Mangungu Simba ni vigumu kama kuing'oa CCM madarakani

Huyu mtu yupo pale kutumika kisiasa. Amewekwa na wanasiasa na kwa nguvu zao sioni iwapo ataacha madaraka yake.

Nikisikiliza jinsi anavyojibu kijeuri, sipati shaka kabisa kuwa Simba kwa sasa inaanguka anguko kubwa sana. Huenda kuna siri hatuijui lakini wanasimba tuanze kujifunza kuishi kama mashabiki wa Ihefu.

Hakuna matumaini kwa sasa hawa jamaa wakiwapo madarakani. Wanachama wenyewe wapiga kura wa Simba ndio hao wanaume wa Dar. Asilimia kubwa machawa na hawajitambui. Mimi sina matumaini kuwa Simba itatulia tukiwa na hawa viongozi.

Engineer amesema atatunyoosha! Na tutanyooshwa sana. Maana hata mwekezaji ni tatizo jingine.
Mangungu anaweza toka, kama wanachama na mashabiki mkiwa wamoja, machawa ni asilimia chache sana. Tatizo la wanachama wengi mmetawanyika, hakuna watu warahisi kuwatawala kama walio tawanyika
 
Mangungu hahusiki kwenye daily operation za Simba, ni kiongozi asiye na nguvu kutokana na katiba mpya ya Simba. Try again na CEO wake na MO ndio wenye mamlaka na maamuzi, inahitajika kuwe na uwazi kuelewa tatizo la usajili la Simba, je ni pesa ndogo au ni uzembe wa scouting team ? Simba ina chief scout yule mzungu wa Uholanzi anafaa kuwa katika top list ya wanaofukuzwa.
Naomba kuuliza mambo mawili mkuu kwako? Majukumu ya Mangungu pale Simba ni yapi na je anayatimiza?
 
Mangungu alipaswa kujiuzulu na kuweka wazi udhaifu wowote ili ufanyiwe kazi.
Kwa sasa anauluzwa tatizo nini,yeye anasema wanasubiri taarifa kutoka sehemu mbali mbali ili wafanye tathmini.
Wenzao wanafanya tathmini wakati mechi zinaendelea na kuanza usajili mapema,wao wakae kwanza,waanze majungu,ndipo dakika za mwisho wakatuletee akina sawadogo na jobe wengine.Halafu wanawekeza nguvu kwenye propaganda.Huu ni uzembe na uhuni wa hali ya juu
Kwani Nkwabi alipojiuzulu lipi la maana lililofanyika?
 
Mangungu alipaswa kujiuzulu na kuweka wazi udhaifu wowote ili ufanyiwe kazi.
Kwa sasa anauluzwa tatizo nini,yeye anasema wanasubiri taarifa kutoka sehemu mbali mbali ili wafanye tathmini.
Wenzao wanafanya tathmini wakati mechi zinaendelea na kuanza usajili mapema,wao wakae kwanza,waanze majungu,ndipo dakika za mwisho wakatuletee akina sawadogo na jobe wengine.Halafu wanawekeza nguvu kwenye propaganda.Huu ni uzembe na uhuni wa hali ya juu
Kwa hiyo 5imba kufanya vibaya msimu huu tatizo sio fedha chafu za GSM tena bali na Ngungus Boy?
 
Mangungu, Try Again na Mo kati yao pamoja na kujifanya ni wana Simba lakini kati yao hakuna mwenye uchungu na Simba. Kwa mtu mwenye uchungu wa kweli na Simba na jinsi matokeo yaliyo mabovu kwani siku ile ile ya zile goli tano hao wangeshajiuzulu bila hata kushinikizwa na mtu. Ila hao jamaa wapo kimaslahi hapo Simba na lazima kuna madudu watakuwa wameyafanya hapo Simba ndio maana pamoja na kufeli kwenye kila kitu bado wanaogopa kuondoka. Ingekuwa enzi zile za JPM saa hizi vyombo vya dola vingekuwa vimeshajipenyeza kimya kimya saa nyingi na kufunua uozo wanaojaribu kuuficha kwa kuendelea kubaki Simba.

Huwa najiuliza huyu Mo ambaye zamani alikuwa hana simile na makocha na wachezaji waliokuwa wanafeli ni Mo huyuhuyu au ni Mo mwingine? Vipi leo amvumilie Try Again aliyemweka mwenyewe pamoja na kupoteza makombe yote toka aachiwe timu miaka mitatu iliyopita?

Na viongozi wa matawi siku hizi wote ni machawa? Nilitegemea mpaka sasa hivi wawe wameshaitisha mkutano wa viongozi wa matawi na kuanza kutafuta saini za wanachama ili kuiomba serikali iwalazimishe viongozi wa Simba waitishe mkutano wa wanachama ili wanachama wamuhoji Mangungu. Wakiridhika na maelezo yake wamwache aendelee ila wakiona hatoshi wamuondoe waweke mwenyekiti mwingine.

Simba wasipowekana sawa sasa hivi basi wategemee mwaka mwingine wa huzuni kuu kwani usajili unaanza hivi karibuni na usajili ndio kila kitu.
 
Huyu mtu yupo pale kutumika kisiasa. Amewekwa na wanasiasa na kwa nguvu zao sioni iwapo ataacha madaraka yake.

Nikisikiliza jinsi anavyojibu kijeuri, sipati shaka kabisa kuwa Simba kwa sasa inaanguka anguko kubwa sana. Huenda kuna siri hatuijui lakini wanasimba tuanze kujifunza kuishi kama mashabiki wa Ihefu.

Hakuna matumaini kwa sasa hawa jamaa wakiwapo madarakani. Wanachama wenyewe wapiga kura wa Simba ndio hao wanaume wa Dar. Asilimia kubwa machawa na hawajitambui. Mimi sina matumaini kuwa Simba itatulia tukiwa na hawa viongozi.

Engineer amesema atatunyoosha! Na tutanyooshwa sana. Maana hata mwekezaji ni tatizo jingine.
Wanachama wa Simba wa Dar es Salaam waliomrudisha Mangungu madarakani wametukosea sana sisi wana Simba wote wa Tanzania.
 
Kwa hiyo 5imba kufanya vibaya msimu huu tatizo sio fedha chafu za GSM tena bali na Ngungus Boy?
Fedha chafu zinapenya kirahisi kama uongozi sio madhubuti.
Jiulize kwa nini Inonga aliuza mechi nyingi za Simba na kutuchomesha?Unadhani nani anaweza kufanya michezo michafu kama hiyo?
 
Nafasi ya tatu kwa hisani ya Mangungo! Nafasi ya tatu kolo kapendeza hajapendeza? Kapendeeeeeeza!
Ikiwa wewe ni kolo na hujakereka na huyu jamaa unahitaji kupewa honorary doctorate!! Yaani angekuwa Simba angetuua uto, ila ni wakwetu tunamcheka tu my wetu! Yanga kuna raha jamani mojawapo ni Ally Kamwe, salute!!
 
Attachments

  • sokavibe6_1717060562453222.mp4
    3.3 MB
Huyu mtu yupo pale kutumika kisiasa. Amewekwa na wanasiasa na kwa nguvu zao sioni iwapo ataacha madaraka yake.

Nikisikiliza jinsi anavyojibu kijeuri, sipati shaka kabisa kuwa Simba kwa sasa inaanguka anguko kubwa sana. Huenda kuna siri hatuijui lakini wanasimba tuanze kujifunza kuishi kama mashabiki wa Ihefu.

Hakuna matumaini kwa sasa hawa jamaa wakiwapo madarakani. Wanachama wenyewe wapiga kura wa Simba ndio hao wanaume wa Dar. Asilimia kubwa machawa na hawajitambui. Mimi sina matumaini kuwa Simba itatulia tukiwa na hawa viongozi.

Engineer amesema atatunyoosha! Na tutanyooshwa sana. Maana hata mwekezaji ni tatizo jingine.
huwa natamani mikoani zitokee timu zinazojitambua, viondoe ufalme wa hawa washirikina wawili......

hizi timu watu wanazishabikia kwa sababu hawana plan b, timu za mikoani kwetu ni utopolo kupitiliza
 
Kwa nn mangungu asitoke akajiajiri kama wanavyotuambia kila siku halafu manara anamtetea sana mangungu sasa hivi nimeshaanza kupata majibu.
 
Huyu mtu yupo pale kutumika kisiasa. Amewekwa na wanasiasa na kwa nguvu zao sioni iwapo ataacha madaraka yake.

Nikisikiliza jinsi anavyojibu kijeuri, sipati shaka kabisa kuwa Simba kwa sasa inaanguka anguko kubwa sana. Huenda kuna siri hatuijui lakini wanasimba tuanze kujifunza kuishi kama mashabiki wa Ihefu.

Hakuna matumaini kwa sasa hawa jamaa wakiwapo madarakani. Wanachama wenyewe wapiga kura wa Simba ndio hao wanaume wa Dar. Asilimia kubwa machawa na hawajitambui. Mimi sina matumaini kuwa Simba itatulia tukiwa na hawa viongozi.

Engineer amesema atatunyoosha! Na tutanyooshwa sana. Maana hata mwekezaji ni tatizo jingine.
Ndugu zangu Wazaramo huwa na neno moia wanaliita Bangusilo, yaani pangusio. Naona hapa Mangungu kaanza kutumika kama Bangusilo.

Kwamba Mangungu ndiye kafanya timu isimalize ligi ikiwa kwenye nafasi mbili za juu. Ndiye kachaguliwa atajwe kuwa chanzo cha kukosa ubingwa.

Yaani mjumbe wa bodi kama alivyo Asha Baraka ndiye awe na nguvu utekelezaji wa majukumu ya kila siku ya timu kuliko CEO na Mwekezaji na Mwenyekiti wa Bodi.

Wanasimba, kikatiba Mangungu hana nguvu yoyote kwenye timu, zaidi ya kuwawakilisha wanachama kwenye kikao cha Bodi ya Simba.

Kama tuna hamu sana ya kumpa Mangungu lawama tukikosa ubingwa, basi kwanza tubadilishe katiba yetu na tumpe hiyo nguvu.

Tulifanya makosa kupitisha katiba ile inayompa nguvu hafifu mwakilishi wa wanchama (Mangungu) kwenye vikao vya maamuzi.

Ikumbukwe kuwa, wanachama ndiyo wenye hisa nyingi kuliko mwekezaji, ila katiba inampa mwekezaji nguvu ya maamuzi, ni upuuzi.

Ova
 
Ndugu zangu Wazaramo huwa na neno moja wanaliita Bangusilo, yaani pangusio. Naona hapa Mangungu kaanza kutumika kama Bangusilo.

Kwamba Mangungu ndiye kafanya timu isimalize ligi ikiwa kwenye nafasi mbili za juu. Ndiye kachaguliwa atajwe kuwa chanzo cha kukosa ubingwa.

Yaani mjumbe wa bodi kama alivyo Asha Baraka ndiye awe na nguvu utekelezaji wa majukumu ya kila siku ya timu kuliko CEO na Mwekezaji na Mwenyekiti wa Bodi.

Wanasimba, kikatiba Mangungu hana nguvu yoyote kwenye timu, zaidi ya kuwawakilisha wanachama kwenye kikao cha Bodi ya Simba.

Kama tuna hamu sana ya kumpa Mangungu lawama tukikosa ubingwa, basi kwanza tubadilishe katiba yetu na tumpe hiyo nguvu.

Tulifanya makosa kupitisha katiba ile inayompa nguvu hafifu mwakilishi wa wanchama (Mangungu) kwenye vikao vya maamuzi.

Ikumbukwe kuwa, wanachama ndiyo wenye hisa nyingi kuliko mwekezaji, ila katiba inampa mwekezaji nguvu ya maamuzi, ni upuuzi.

Ova
Nimecheka mno! Japo umeandika vingi vyenye msingi ila aya yako ya kwanza imenivunja mbavu.
 
We ukiambiwa kuanzia Leo ondoka hapo kazini kwako na ni kazi uliyopambana kuipata basi unabeba vyako unaondoka sio!?
Pale ni kazini kwake na team mbona Ina mafanikio makubwa
1.Ngao ya hisani
2.Muungano cup
3.nafasi ya 3 kwenye league
Ni nyie tu mashabiki ndio mmeogopa kufanya parade mnaruhusu team yenye kombe Moja itambe mjini
 
Back
Top Bottom