Kumnyonya mwanamke au mwanaume au kufanya mapenzi mdomoni husababisha kansa ya koo

Kumnyonya mwanamke au mwanaume au kufanya mapenzi mdomoni husababisha kansa ya koo

....human being "ni kiumbe pekee anaye tambua uwepo wa Mungu muumba,yet ndio kiumbe anayeongozakudharau na kupuuza maagizo yake " kuliko hata wanyama...God help us...

cc TUKUTUKU Chibolo
 
Last edited by a moderator:
....human being "ni kiumbe pekee anaye tambua uwepo wa Mungu muumba,yet ndio kiumbe anayeongozakudharau na kupuuza maagizo yake " kuliko hata wanyama...God help us...

cc TUKUTUKU Chibolo
Mkuu ni kitabu kipi cha mungu kinakataza mapenzi ya kinywa?wacheni watu tule raha bana!
 
Kuiga tu na niseme ni ushamba tu, wenzetu wanaishi kwenye baridi ikli hisia zipatikane mpaka wapashane moto kwanza ndo nyeti zishituke sisi akhaa ukichungulia tu nyuzi 45;sasa kunyonya kwa nini. acheni bana, kama mna matatizo nendeni mkamuone dr. ndodi.

Mkuu ni kitabu kipi cha mungu kinakataza mapenzi ya kinywa?wacheni watu tule raha bana!

kama akibisha mwambie akasome kitabu kinaitwa taratibu za jimai. Kinapatikana ktk maduka ya vitabu vya kiislamu. Utakuta vitu kama kunyonya, katalelo ni sunna.
 
Shauri lenu

Mtatuona vizee tunadunda tu, hii ipo kichwani tu

Na wala haiongezi chochote, utamu ni uleule
Mkuu mimi nina miaka 63,tangu ujana wangu nilianza huu mchezo na sijazurika,hakuna lolote zaidi ya vitisho!
 
Haikatazwi kufanya maandalizi ya namna hiyo, ila hii inafanana na hii hapa.....Uvutaji wa Sigara Waweza Kudhuru Afya yako........kwa watu wanaacha kuvuta sigara ?
 
Back
Top Bottom