Kumnyonya mwanamke matiti ni Tiba/Dawa ya Saratani ya matiti?

Kumnyonya mwanamke matiti ni Tiba/Dawa ya Saratani ya matiti?

Kumbe wewe huna tahadhari kwa afya yako kwakuwa hospitali zipo? Au kuchukua tahadhari kwa kuilinda afya unaabudu dawa au sanamu? Mungu tusaidie sisi waafrika mana mtu kama huyu hana tofauti na kenge. Binadamu una mawazo kama unafikiri kwa kutumia makalio.
Sina maana hiyo Mkuu wangu. Umenielewa vibays tenaa sana.Hanna mahali panapoashiria kwamba siijali afya yangu kwa kuamini hospitali zipo. Aseee unanifanya nicheke tyu...

Je,Hujawahi kuumwa wewe",..¿! au unafikiri tiba zimeanza juzi",...¿! Kuumwa kupo ndio maana hata Muumba wa vyote ameumba mimea tiba,...!!!
Au niishie tyu hapa mkuu..
 
Mimi ni daktari na naisuport sana hyo kitu ndo maana tunaroa ushauri kwa mama kumnyonyesha mtoto wake kwa at least mwaka mmoja
Kama kuna swali nakaribisha
NA KAMA UNASEMA HAKUNA THESIS ZILIFANYIKA TUKAZISOMA NJOO NIIONYESHE USHAIDI WA KUPINGA KWAKO UKITUMIA HATA HYO MAANDIKO MATAKATIFU KWASABABU KOTE MIMI NIKO SAWA
Duh..!
Daktari, hii ya kunyonyeshana wapenzi ni tofauti kabisa na ile ya mama na mtoto.
 
sipendagi kbs iyo mambo ila inabidi nianze kwa usalama wangu
 
Mtumishi wa Mungu, uvumi kama huu unaweza kuukanusha kwa utafiti wa kisayansi!!
 
Baba Mtumishi hiki ni chanzo cha kupoteza mwelekeo. Sijaona mantiki ya wewe kutoa tamko na pia kuhamasisha watu kunyonya matiti wa wake zao. Biblically, hiyo, ipo?
 
Kuna habari zinaenezwa ktk mitandao na magroup ya whatsap, kwamba kumnyonya mwanamke au mke wako Mara kwa Mara kutamsaidia kutopata ugonjwa wa saratani ya matiti.

Nikiwa kama Mtumishi wa Mungu ningependa kutoa taarifa kuwa ""huo ni uzushi na ni mpango wa kuzimu ktk kuongeza wimbi LA ukahaba.

Kwaabb kama kunyonya wapo waume waaliozoea kuwanyonya wake zao kama sehemu ya mapnz, lakn pia wazee wa zamani walikua hawawanyonyi wake zao na wala hakukuwa na huo ugonjwa.

Naweza kusema kama ulikuwa umezoea kumnyonya mke wako km sehemu ya mapnz unaweza kuendelea, isipokuwa
NI MAKOSA KUNYONYA MKEO KWA IMANI IYO KWAMBA UNAMSAIDIA ACPATE UGONJWA WA SARATANI

Nawatakia ndoa na familia njema ktk Jina LA Yesu Kristo.
VIPI NA HII .

*FAIDA YA KUNYONYWA/ KUNYONYA UUME WAKATI WA KUFANYA MAPENZI*

Utafiti uliofanywa na jopo la madakitari kutoka Hospitali ya Chuo kikuu cha Hopkins (JHU) wakiongozwa na Dr. Carl Walker toka Chuo Kikuu cha madakitari cha Yenepoya Medical College, Canada , kimeeleza kuwa wanaume wanaonyonywa nyeti zao (uume) wana nafasi nzuri ya kupata watoto wenye afya njema na uwezo mkubwa wa kinga dhidi ya magonjwa (immune response capability).
Utafiti huwa unabainisha pia kuwa, kitendo hicho cha mwanaume kunyonywa humfanya mwenye furaha zaidi, na hivyo uchamgamfu wake huzifanya pia mbegu kutoka /kumwagika zikiwa zimechangamka, hivyo kuwa na uwezekano mkubwa wa kupata mtoto mwenye akili na afya njema.
Zaidi ya hayo, utafiti huo umeeleza kuwa mbegu za mwanaume aliyenyonywa kabla au wakati wa tendo la ndoa pia ni kinga ya magonjwa kwa mwanamke anayekojolewa mbegu hizo ukeni, kwani huwa zina protein Za kutosha na hulainisha ngozi na kumfanya mwanamke awe na uso mwang'avu.
Utafiti huu unatokana na kuonekana wanawake wengi wanaotumia kondom au kutoruhusu kukojolewa ukeni kupata magonjwa zaidi ikiwemo fibrosis zaidi ya wanawake wenye kunyonya uume na kujiachia. Vilevile imebainika kuwa wanaume wenye kunyonywa wana nafasi kubwa ya kuendelea na urijali zaidi ya wale wasionyonywa!

Chanzo: Reutes:
Tembelea: https://ein.weakpedia.org.
 
Lol....hiyo picha uloiweka ....kweli wanawake tupo na kibarua kigumu! Sasa hapo si atammalizia mtoto Maziwa yake.!!!
 
Rejea mada oral sex is stupidness, foolishness, and sinfulness
 
Back
Top Bottom