Sina maana hiyo Mkuu wangu. Umenielewa vibays tenaa sana.Hanna mahali panapoashiria kwamba siijali afya yangu kwa kuamini hospitali zipo. Aseee unanifanya nicheke tyu...Kumbe wewe huna tahadhari kwa afya yako kwakuwa hospitali zipo? Au kuchukua tahadhari kwa kuilinda afya unaabudu dawa au sanamu? Mungu tusaidie sisi waafrika mana mtu kama huyu hana tofauti na kenge. Binadamu una mawazo kama unafikiri kwa kutumia makalio.
Duh..!Mimi ni daktari na naisuport sana hyo kitu ndo maana tunaroa ushauri kwa mama kumnyonyesha mtoto wake kwa at least mwaka mmoja
Kama kuna swali nakaribisha
NA KAMA UNASEMA HAKUNA THESIS ZILIFANYIKA TUKAZISOMA NJOO NIIONYESHE USHAIDI WA KUPINGA KWAKO UKITUMIA HATA HYO MAANDIKO MATAKATIFU KWASABABU KOTE MIMI NIKO SAWA
Amen,,,umeelewa somo hilo?Hahahaaaa!; bwana asifiwe mtumishi!!!!
Wameshindwa kusema SBB halisi ya chanzo cha ugonjwa huo,,,,,,,,ndo shetani kawapa wazo hiloMtumishi wa Mungu, uvumi kama huu unaweza kuukanusha kwa utafiti wa kisayansi!!
VIPI NA HII .Kuna habari zinaenezwa ktk mitandao na magroup ya whatsap, kwamba kumnyonya mwanamke au mke wako Mara kwa Mara kutamsaidia kutopata ugonjwa wa saratani ya matiti.
Nikiwa kama Mtumishi wa Mungu ningependa kutoa taarifa kuwa ""huo ni uzushi na ni mpango wa kuzimu ktk kuongeza wimbi LA ukahaba.
Kwaabb kama kunyonya wapo waume waaliozoea kuwanyonya wake zao kama sehemu ya mapnz, lakn pia wazee wa zamani walikua hawawanyonyi wake zao na wala hakukuwa na huo ugonjwa.
Naweza kusema kama ulikuwa umezoea kumnyonya mke wako km sehemu ya mapnz unaweza kuendelea, isipokuwa
NI MAKOSA KUNYONYA MKEO KWA IMANI IYO KWAMBA UNAMSAIDIA ACPATE UGONJWA WA SARATANI
Nawatakia ndoa na familia njema ktk Jina LA Yesu Kristo.
Rejea mada oral sex is stupidness, foolishness, and sinfulnessVIPI NA HII .
*FAIDA YA KUNYONYWA/ KUNYONYA UUME WAKATI WA KUFANYA MAPENZI*
Utafiti uliofanywa na jopo la madakitari kutoka Hospitali ya Chuo kikuu cha Hopkins (JHU) wakiongozwa na Dr. Carl Walker toka Chuo Kikuu cha madakitari cha Yenepoya Medical College, Canada , kimeeleza kuwa wanaume wanaonyonywa nyeti zao (uume) wana nafasi nzuri ya kupata watoto wenye afya njema na uwezo mkubwa wa kinga dhidi ya magonjwa (immune response capability).
Utafiti huwa unabainisha pia kuwa, kitendo hicho cha mwanaume kunyonywa humfanya mwenye furaha zaidi, na hivyo uchamgamfu wake huzifanya pia mbegu kutoka /kumwagika zikiwa zimechangamka, hivyo kuwa na uwezekano mkubwa wa kupata mtoto mwenye akili na afya njema.
Zaidi ya hayo, utafiti huo umeeleza kuwa mbegu za mwanaume aliyenyonywa kabla au wakati wa tendo la ndoa pia ni kinga ya magonjwa kwa mwanamke anayekojolewa mbegu hizo ukeni, kwani huwa zina protein Za kutosha na hulainisha ngozi na kumfanya mwanamke awe na uso mwang'avu.
Utafiti huu unatokana na kuonekana wanawake wengi wanaotumia kondom au kutoruhusu kukojolewa ukeni kupata magonjwa zaidi ikiwemo fibrosis zaidi ya wanawake wenye kunyonya uume na kujiachia. Vilevile imebainika kuwa wanaume wenye kunyonywa wana nafasi kubwa ya kuendelea na urijali zaidi ya wale wasionyonywa!
Chanzo: Reutes:
Tembelea: https://ein.weakpedia.org.
ππππHii kitu ni kweli Mkuu hata kuyanyonya matiti wakati wa kufanya mapenzi pia inasaidia kupunguza uwezekano wa kupata cancer ya matiti.