Ishu ya namna hii ya kufua makufuli nimeisikia kwa jirani yangu (kupitia kelele za matusi na kipigo kwa dada wa kazi). Kimsingi jirani huyu anatesa akina dada wa kazi, huyu ni wa nne kwa miaka hii miwili. Huyu mpya aliyenaye sasa kipigo hakiishi.
Lakini jamani, kama unaona dada huyo wa kazi hakufai kwa nini usimrejeshe ulikomtoa? Hujui kuna siku unaweza kumuua kwa kipigo?
Jamani mtafutieni pilipili ya unga, au hata mbichi isagwe na juice yake ichanganywe na maji ya kusuuzia. Mama akivaa hiyo kufuli wakati wa joto ataipata fresh. Hata kama ni sokoni mama atapitisha mkono akune.
Hivi ndivyo tulivyo mkomesha mama mmoja tena wa asili ya asia. Atakuna K mpaka itawaka moto.
Tafsiri yake ni dharau,wengine hata chakula msaidiz anatengwa,hakai seburen na familia!
watu wana roho mbaya sana. wanawake wengine tunajidhalilisha sana. house gal ukishampa nguo yako ya ndani akufulie atakuheshimu kweli? mwingine chumba chake anacholala na mumewe, kinasafishwa na hse gal...!! wanawake acheni uvivu na dharau zilizopitiliza. mimi nguo yangu tu ukiona nimempa house gal afue, ujue ni dira au khanga tena za kushindia nyumbani. chumbani kwangu hata amalize miaka mitano kwangu, hatajua hata kitanda kimegeukia wapi. wanawake tujithamini. kama kuna mwingine hapa mwenye katabia haka, aache mara moja...$$$**%%**8grr*8@@###
Ndio hapo!Tena anatakiwa athaminiwe sana,kwa kuwa ndie analinda uhai wao wote!
tena sana,maana usalama wa wote umweka rehani kwake. haya unamwacha na wanao una uhakika gani hatawa mistreat? aisee pipo tubadilike jamani tuwafanye hawa wadada part ya familia zetu. am telling you utayafurahia maisha na hatakumbuka hata kwao..