mkayala
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 555
- 72
- Thread starter
- #61
Ishu ya namna hii ya kufua makufuli nimeisikia kwa jirani yangu (kupitia kelele za matusi na kipigo kwa dada wa kazi). Kimsingi jirani huyu anatesa akina dada wa kazi, huyu ni wa nne kwa miaka hii miwili. Huyu mpya aliyenaye sasa kipigo hakiishi.
Lakini jamani, kama unaona dada huyo wa kazi hakufai kwa nini usimrejeshe ulikomtoa? Hujui kuna siku unaweza kumuua kwa kipigo?
Tena wanawaagiza toka nyumban mikoan,watu wanasema mtoto we2 yuko Dar,kumbe anateswa!