situjadiriane
Member
- Jan 5, 2023
- 41
- 49
Wa Tanzania wenzangu tunajipanga kwa uchaguzi mkuu ifikapo October 2025 wana siasa sasa wanajipanga kuchukua nafasi. Walio nje wanajitahidi kurejea ndani. Walio ndani wanajipanga kubakia kwenye viti vyao.
Sasa wabunge wetu waliopotea majimboni wataanza kurejea majimboni. Hotuba za wananchi washilikishwe tutazisikia kila Kona ya nchi.
Nawaomba watanzania, mbunge ambaye hakuonekana jimboni today tumchague tumkatae
2: Mbunge ambaye hakututetea bungeni hakuwasilisha vilio vyetu bungeni tumkatae
3: wabunge wote wakupiga makofi tu bungeni hawachangii hoja hawatetei wananchi tuwakatae
4:viongozi wote waliojilmbikizia Mali zinazo zidi mishahara Yao tuwakatae
5:mwisho tune macho na matapeli wa kisiasa ni hatali.