Kumpata Zuchu kwaajili ya Show ni Tsh Million ishirini kwa show moja! Je show zake zina thamani hii?

Inapendeza ila kwenye hiyo million20 anambulia million5 zote zinenda kutunisha mfuko wa WCB...
 
Kazi ipo kwa wapenda show
Kwa sie ambao hatuna habare na zuchu haya hayatuhusu kabisa!
 
Mwenye ako na connection anione inbobo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…