Kumpata Zuchu kwaajili ya Show ni Tsh Million ishirini kwa show moja! Je show zake zina thamani hii?

Kumpata Zuchu kwaajili ya Show ni Tsh Million ishirini kwa show moja! Je show zake zina thamani hii?

Safi.ndo maana nasema wcb wanajua KUJIBRAND na kujipa hyo value..
Mlitaka waseme msanii wao thamani yake ni laki 5?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Bidhaa inayouzwa laki 5 january na desember ikafikia 5m, in a long term ina thamani kubwa kuliko bidhaa inayouzwa 5m january na desember ikauzwa 5m hiyohiyo au pungufu.
 
Bora wapige hela sasa.
Akichuja huko mbele FAIDA IMEINGIA..
Sio msanii unaimba mpaka unafanana na maiki alafu hela huna.
hata kama zuchu hajui kuimba kama wanavyosema BRAND YA WCB INAMBEBA
yupo mahali sahihi.

Nyie ndo
Na hapo social media accounts zote Kama YouTube inakuwa ya Wasafi.

Yaani YouTube account ya Rayvany na vilivyomo ndani Ni vya WCB sio Rayvany. Hela zote zinazoingia YouTube zinaenda WCB headquarters ndio upewe wewe kilichobaki.

Rich mavoko baada ya kutoka WCB mpaka account yake ya YouTube imebaki WCB alianza upya YouTube na account mpya from zero na nyimbo zote alizotoa chini ya Wasafi zimebaki huko hapaswi kula pesa Tena na jasho yake.

Usione harmonize alivyojitoa ukadhani Ni masihala. Na ile gharama ya milion 500 aliyoambiwa atoe ilikuwa Ni ili aondoke na nyimbo zake pamoja na account Yake ya YouTube.

Sasa ukiona vitoto vinavyojishaua humu Jamii forum kuhusu WCB unabaki kucheka tu havijui lolote.
Nyie ndo akili hamna... kwani nini maana ya kusimamiwa? kaka lazima ieleweke hii ni mikataba sina ufahamu sana kuhusu mikataba ila ufahamu wngu wa awali tu mkataba ni makubaliano kati yenu so una hiyari ya kukubali au kukataa so sioni tatzo kwa wcb kumiliki msanii na kila kitu chake. Kumbuka wao hawaweki mawe pale ni pesa ndo inaongea pale halafu nini wcb! serikali yko kumbuka pia imeingia sana mikataba ya aina hii hta kama ingekuwa ww Leo ndo mmiliki wa wcb cdhani km ungekubali kujiendesha kwa hasara kaka halafu tukirudi upande wa pili hta km wanaumizwa branding ndo msingi wanaondoka nao pale.Leo harmonize akikosa shukrani kW wcb c jambo zuri kwani laiti harmonize angekosa usimamizi wa diamond asingekuwa alipo sasa hatusemi asingetoka ila angekuwa km pacha wake harmorapa tu
 
5 ya Diamond, 5 ya ofisi, 5 ya Salam SK na Babu Tale kisha 5 ya Zuchu! Hapo ndio mgawanyo unavyokuwa. 😁😁😁😁😁 Msifikirie hela zote atakula Zuchu hizo.

Hamna anayempenda kiasi hicho yeye anakula 25% tu 75% ni ya management.
Apo kuna ubaya gani si fresh tu hujagharamia hta mia unataka upewe 75% itawezekana vp
 
Nyie ndo

Nyie ndo akili hamna... kwani nini maana ya kusimamiwa? kaka lazima ieleweke hii ni mikataba sina ufahamu sana kuhusu mikataba ila ufahamu wngu wa awali tu mkataba ni makubaliano kati yenu so una hiyari ya kukubali au kukataa so sioni tatzo kwa wcb kumiliki msanii na kila kitu chake. Kumbuka wao hawaweki mawe pale ni pesa ndo inaongea pale halafu nini wcb! serikali yko kumbuka pia imeingia sana mikataba ya aina hii hta kama ingekuwa ww Leo ndo mmiliki wa wcb cdhani km ungekubali kujiendesha kwa hasara kaka halafu tukirudi upande wa pili hta km wanaumizwa branding ndo msingi wanaondoka nao pale.Leo harmonize akikosa shukrani kW wcb c jambo zuri kwani laiti harmonize angekosa usimamizi wa diamond asingekuwa alipo sasa hatusemi asingetoka ila angekuwa km pacha wake harmorapa tu
Umeshasema hauna ufahamu wa mikataba hiyo nguvu ya kuzungumzia mikataba unaitoa wapi?

Huoni unatadanganya watu humu.

Huna mandatory ya kuzungumzia kitu ambacho ume-declare kutokukijua otherwise unatangaza kudanganya watu ukiwa umewapa prior notice ya kuwadanganya.
 
Bora wapige hela sasa.
Akichuja huko mbele FAIDA IMEINGIA..
Sio msanii unaimba mpaka unafanana na maiki alafu hela huna.
hata kama zuchu hajui kuimba kama wanavyosema BRAND YA WCB INAMBEBA
yupo mahali sahihi.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Cha msingi aendelee kujifua kama kipaji kipo lazima atakubalika kwa wote.
 
Nimegundua,wasafi haipendwi machoni mwa watu,inapendwa moyoni
Watu wanaiponda Ila wanaipenda
 
Ila zuchu mnamuoverate Sana .alafu Bahati mbaya mie hata wimbo mmoja sijaupenda..anaimba kimahadhi ya mwambao wa pwani saana ..zuchu hamfikii
Ruby,vanessa,Mimi Mars etc .kifupi anaimba flat saaana!
Anywys kila la heri kwake
Promotion na branding.......Kuna wanamuziki wengi wanaimba kuliko harmonize...lakini ona kilichotokea..ni promo na branding tu..acha uboya
 
Hivi zuchu ana hit song ?

Tuanzie hapo kwanza.
Promo na branding Ndicho anachowachapia Mondi.....hata Harmonize siyo Bora kuliko akina mavoko,belle9 nk lakini wamefeli hapo.....Kiba is the best lakini amefeli hapo...mtaendelea kutoa povu mpaka mkate roho huyo binti Hana ishu lakini anapaa mbaya
 
Kwa hiyo unatufokea?

Nimeuliza tu, hit song ya zuchu ni ipi?
 
Mi nimeona sherehe za harusi za dadaake Diamond, jinsi walivyompaiisha na Euro, dollars na Rand za South Africa, kama hatoi tako yule jamaa aliyeoa ni bwege mtozeni.
 
Back
Top Bottom