Kumpata Zuchu kwaajili ya Show ni Tsh Million ishirini kwa show moja! Je show zake zina thamani hii?

Kumpata Zuchu kwaajili ya Show ni Tsh Million ishirini kwa show moja! Je show zake zina thamani hii?

Wewe lini ushawahi kuwa sifia WCB,
Mbosso ile nyumba na gari aliyo wagea wazazi wake kaiokota.

Mtoto kiume ila una chuki na wivu wa kike yaani unajua mifuko na akaunti zote za wasanii wa WCB kama Kijumbe wa mtaa.
Naomba ujibu hoja yote nikiyoandika Kama Ni uongo.

Otherwise you're going to add my ignore list
 
Kama kiingilio unaona kikubwa ka burn album kwenye flashi usikilize kwenye dumu lako magetoni. Hamna haja ya maneno na mtu!
 
Kijana huna unalojua Kodi za Nyumba za wasanii wa wcb zinalipwa na WCB. Harmonize tuko nae tabata analipiwa na WCB.

Shopping za Mavazi unalipiwa na WCB kwa mwezi. Hakuna msanii wa wcb anajilipia kodi.

Lavalava mwaka mzima unaisha hana hata show mbili. Queen Darleen mwaka unaisha hana hata show moja hizo Kodi anatoa wapi.

Kila gari unaloona ANAPEWA ni mkopo atakatwa kwenye mapato yake. Kuweni mnauliza.

Ingekuwa ni hivyo rahisi unadhani rich Mavoko angejitoa!!!

Uliza watu wanaomjua rich Mavoko vizuti tabata ilifika kipindi anakosa mpaka nauli ya kwenda WCB mbezi kwenye studio sessions.

Sitaki niseme hayo ya Mboso utakuja kusema naongea uongo
Sasa lavalava na queen Darleen watapata show kwa kazi zipi walizofanya????
Halafu kama ni hayo makubaliano walisaini wenyewe kwa akili zao timamu bila kulazimishwa, sasa wewe unacho lalama nini huku jf???
 
Kwa hiyo wewe ulitaka mondi aangaike miaka yote kutengeneza bland ya wasafi halafu wanaume wengine wakateleze pale halafu wasepe kizembe tu???

WCB ni biashara ya Diamond na sio charitable organization kama king's music ya Kiba.

Uzuri wamesaini mkataba wenyewe.
Yaani nabishana na kitoto Cha miaka 19 pumbavu. Ndio maana mnabisha na kudanganyika na hizo insta. Msaada :utaratibu wa kuhama shule a level naingia kidato cha sita mwaka huu Wazazi wako wanajua uko unajisomea muda huu ili ufaulu pumbavu wewe unabishana Mambo ya diamond. Kenge wewe.

Jamii forum yenyewe umejiunga mwaka 2019. Sidhani hata umewahi kuhudhuria hata show moja ya diamond ya kiingilio kuanzia 50,000 zaidi ya kusubiri show za uwanja wa taifa na zile za CCM ili umuone diamond.

Ngoja nikukanyage Block kubishana na vitoto vya secondary school ni kujishushia hadhi yangu. Pumbavu.

Wakubwa naomba msaada wenu mtoto nisipotee
 
Katika hiyo milioni 20, kato la Diamond ni asilimia ngapi?

Isije kuwa binti wa watu anakuwa exploited kupitiliza...halafu baadaye akili zikimjia na kustukia gemu, bifu linaanza.
5 ya Diamond, 5 ya ofisi, 5 ya Salam SK na Babu Tale kisha 5 ya Zuchu! Hapo ndio mgawanyo unavyokuwa. 😁😁😁😁😁 Msifikirie hela zote atakula Zuchu hizo.

Hamna anayempenda kiasi hicho yeye anakula 25% tu 75% ni ya management.
 
5 ya Diamond, 5 ya ofisi, 5 ya Salam SK na Babu Tale kisha 5 ya Zuchu! Hapo ndio mgawanyo unavyokuwa. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Msifikirie hela zote atakula Zuchu hizo.

Hamna anayempenda kiasi hicho yeye anakula 25% tu 75% ni ya management.
Mbona hujaweka Income Tax na gharama za show [emoji16][emoji16]
 
Acha wakisema milion 60 wapo watatoa wenye pesa ila kwangu napenda show za akina umber ruty, gig money, vanessa, snura na wakata viuno wote
 
Naomba ujibu hoja yote nikiyoandika Kama Ni uongo.

Otherwise you're going to add my ignore list
Wewe lini ushawahi kuwa sifia wasafi?
Ulicho ongea maneno tupu bila ushahidi umesema hawana hela ,ila hujaweka ushahidi kwenye account zao wana kiasi gani,unaropoka na kujifanya unajua mifuko ya wasanii wote wa WCB wana shilling ngapi.

Mbosso huyo hapo amewakabizi wazazi wake nyumba na gari ina maana hivyo vyote kaviokota.

UNA SHOBO KAMA MTOTO WA KIKE KWANI MIMI HUMU JAMII FORUM NIMEKUFUATA WEWE,MPUUZI KWELI "eti nitakuweka kwenye ignore list" WE UNA NINI ZAIDI YA CHUKI KAMA MTOTO WA KIKE aka Bitch As* Nigger.

Kabla huja ni ignore mimi tayari nisha kuignore.
 
hatimae nimepata mtu mwenye mtazamo sawa kuhusu haya mambo, mm hata ndugu aoleee uwani kwangu siendi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

sherehe nayohudhuria n msiba tu
Dadeq! Aah we kiboko😀😀
 
Namkubali Diamond anajua anachokifanya so sishangai kwa hili
 
Lini atakuwa?..
unajua kuwa msanii wa ulaya akitoa nyimbo 1TU.
AMEKUWA TAJIRI.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
- Marekani ni marekani na bongo ni bongo, value ya muziki kwa marekani ni kubwa kuliko huku kwetu.

- Value ya muziki inapimwa na wasikilizaji, mfano dimond alipofika leo ni kwa sababu ya value ya mziki wake kwa wasikilizaji.

- Huwezi toka tu kimuziki alafu ukaupa mziki wako value unayopanga wewe.

- Kwa zuchu kuna mawili either atashuka thamani au nguvu kubwa sana itatumika kumuendeleza.
 
Umeongea points kubwa
 
Yani nitoe 20m kwa ajili ya kupigiwa kelele za Mara moja tu..nei bolo.

Toeni tu wenye mihela yenu.
 
Safi.ndo maana nasema wcb wanajua KUJIBRAND na kujipa hyo value..
Mlitaka waseme msanii wao thamani yake ni laki 5?

Back
Top Bottom